Ni wizi au kawaida kampuni za simu za mikononi

Ni wizi au kawaida kampuni za simu za mikononi

kunyala

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
76
Reaction score
18
Wadau naomba kuuliza hivi huu ni wizi au kawaida.unajiunga kwenye hizo huduma zao labda siku.wiki au mwezi.lakini bado kuna makato yasiyo ya msingi.Mfano unajiunga airel kwa siku unakatwa 499.unapewa dk.mb na sms.kama simu ilikuwa na salio la 700 au zaidi watatoa hiyo 499.then utaona salio sawa ila kesho yake ukiangalia salio unakuta limepunguzwa au kwisha kabisa.sasa hizo wanazokata baada ya kujiunga wanapeleka wapi na ni za nn.naomba mnifungue kwa hili wadau.
 
Mi huwa nanunua kiwango cha pesa kwenye mfano, mpesa, tigo pesa na airtel money, kiwango kile kile ninachotaka kwenye huduma husika.
Sibakizi hata sent tano. Ukinunua ya vocha mfano buku afu ukatumia huduma ya 500, ujue utaliwa.

Solution usinunue vocha ku-top up salio.
 
1.Una simu Smartphone ambayo unaweza kufungua zaidi ya tab moja.. unadownload na kufanya session za intaneti(multiple sessions) hapa kifurushi kikikaribia kuisha utakatwa pia na salio kwasababu multiple sessions ziko active.

2.Angalia simu unayotumia kama inakuwezesha kuona session zinazorun kwa wakati huo bila wewe kuzifungua na uzifunge.

3.Una Blackberry na umenunua kifurushi cha BB,BB zinatumia APN za Blackberry.net lakini una applications kwenye simu yako zimesetiwa by default kwenye AUTO/WAP/INTERNET eg Jamii app. hapa lazima utachajiwa salio.

4. Kumbuka pia umeweka email kwenye simu yako inayokuwezesha kutumia google accounts ambapo ina auto sync kwenye server.
 
Hilo la smart phone naanza kuelewa bt si nina mb kiongozi na nakatwa b4 hizo mb kwisha.au program nyingine haziusiki kwenye mb za kujiunga.
 
Hilo la smart phone naanza kuelewa bt si nina mb kiongozi na nakatwa b4 hizo mb kwisha.au program nyingine haziusiki kwenye mb za kujiunga.
Nimeshtuka katika siku tatu zilizopita na leo dak zangu za voda zinakwisha tofauti na 'time duration' ya simu inayorekodi kwa kila call, ijumaa nilinunua airtel ya week zima jumapili kila kitu kilipukutika bila kuelewa zilipopigwa/MBs zilipokwenda na SMS zilkotumwa. Nina wasi wasi deni la 3000 la TRA kwa miezi mitatu ndio linarejeshwa kimya kimya hvo. Tujiandae tu kuliwa vichwa kwa muda huu watumiaji wa simu! :crying:
 
Back
Top Bottom