Boonabaana
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 255
- 105
Ba ba ba ba ba banjukajuuuuu! Sijui aliimba nani, lakini nadhani ni msanii wa Kenya.
Sijui kama maneno yako sahihi! Wimbo huo unaniboa kishenzi.
Kumbe tupo wengi aaggggggghhhKama uko akilini mwangu!
Nambari wani ni ccm! Agggrrhhh!
Nyimbo zote za Juma Nature...
Imekuwaje tena hujawahi kukaa uswahilini mkuu? Nalog off
ahh nilipenda kipindi kile enzi zile anaimba Nyimbo za mafunzo kama MTOTO IDI, .. baadaye akaja kuchuja sana