Xi jiping
JF-Expert Member
- May 7, 2021
- 415
- 536
Tuko kwene mahusiano kwa mwaka sasa, na sasa nataka nimuoe kwani ni mwanamke ambae ni wife material
Ila shida ni kwamba si mtu ambae navutiwa nae kiasi kwamba yeye ndo ananipenda.
Naenda tu kwa kujilazimisha ila akinipa penzi nakula kifupi mimi ni mzee wa show. Naweza lala na mtu hata nisiempenda kwasababu tu ya ashki.
Naombeni ushauri.
Nahisi kama maisha ya ndoa yatanichosha