Ni wife material ila hana hips

Big Lion

Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
46
Reaction score
15
Ni mzuri kwa sura na ana tabia nzuri anapenda kuvaa magauni na nguo zisizombana ili umbo lake lisionekane. Jana Jumapili alinikubalia mechi ndo nikaona alivyo.

Mwenzenu nilishaamini hapa nimepata mke sa kumbe binti hana hips hata kidogo ambacho ndo kitu kinachonipagawisha zaidi kwa mwanamke. Nashindwa kufanya maamuzi nimuoe tu au nimuache nitafute mwingine.
 

Sa angekua nazo unadhan angekubali umtongoze!?
Unadhan angekua single?
 

Baba vipi? unataka umle hayo mahips??? acha hzo bhaana
wenzio wanataka mwanamke tabia we unataka mwanamke hips? lols shaur zako utawapata wenye mahips ya kununua sasa afu tabia 0 utafanyaje? :what:
 
Usimpotezee muda wake. Endelea kutafuta mwenye hips. Kwa kuwa unapenda hips ukimuoa utakuwa una chepuka kila mara.

Ingawa ukikua utagundua kua mke ni zaidi ya umbo la nje.

Ngoja akue ataona bdae tofaut ya mwanamke hips na mwanamke tabia
 
Dunia inamambo nyie daah kwel majanga haya naamini angekuwa na bonge la tako alafu sura mbaya km remi usingemtaka vilevile kuwa na busara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…