mtarimbo
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,722
- 4,239
Wale mliomwaga povu baada ya mtoto wa shehe yahya kutabiri kifo cha chama kikubwa nafikiri namba mshaanza kuzisoma, hivi vyama vya kibongo ni njaa sana hata ccm pia njaa ingekua c tume na katiba mwaka jana ccm nayo ingekufa CHADEM mjipange maana huko waganga njaa ni wengi