Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

Sawa mlokole
 
Mm watatu ña nusu mpaka sasa,
Nusu IPI sasa kuwa muwazi
Sisi tunapenda udaku kama buu hujue kwa mfano mm nikiingia Jf ni kusoma comments za watu haswa kwenye mambo kama haya [emoji23] [emoji23]
 
Binafsi nimewakumbuka 24 na nina uhakika wengine nimewasahau hasa wale wa papo kwa papo. Nasubiri tu hukumu
We kwan jinsi ulivyoandika inaonesha mkuu ww ni mkweli kabisa
 
Mpenz wa MUNGU!!
 
Siyo lazima kuanzisha topiki. Ni bora kujinyamazia
 
2017 Jana ucku nimepga wa 18 na leo anakuja mwingine so kwa mwaka Jana sikumbuki maana pesa ipo wanakuja wenyewe kazi yangu. Mimi ni kujiweka fiti kwa kusugua vizizi ,na katika records zangu Mara ya mwisho kutumia mpira ni 2008
 
Mh boss kwa heri,,,,wewe tayari
 
Hahahhh ungeanza ww mtoa mada ingekua vizuri ngoja nihesabu nikipata idadi nitarudi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…