Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

King Crazy Gk hit songs
1.Simba wa Africa
2.Sauti ya Manka
3.Sister sister ft.Pauline Zongo
4.Tutakukumbuka ft.Tid
5.Nitakufaje
6.Miiko 10 ya rap
7.Hii leo ft. AY & FA
Bila kusahau mipini kibao aliyotoa na East Coast Team, though nakubali Amiri Jeshi mkuu ameishiwa
Sasa yule anaimba nini, mi naona anazungumza tu, upuuzi mtupu, atafute kazi afanye, analazimisha tu
Wengine mnatie aibu kama hamjui mziki kalaleni hadi jux??
 
Sasa yule anaimba nini, mi naona anazungumza tu, upuuzi mtupu, atafute kazi afanye, analazimisha tu
We huna lolote ni chuki binafsi inakusumbua, jux hajawahi kutoa wimbo ukabo, toka napata raha, nitasubiri, sisikii, am looking for u n.k mpaka wivu.. Mkuu punguza wivu
 
mtoamada alikua na nia nzuri kabsa lakini kakosea sana hiyo list ya wasanii alowaweka kuanzia peter msechu ,tundaman mpaka nay wamitego hao jamaa wanaimba labda huujui muziki vizuri.mtu kama nay muziki anaujua sema anastaili zake za kuchukua attention. .....muziki ni ubunifu na akili vinginevyo utafeli tu......kutoka kwenye game inaweza kua rahisi lakini kumaintain ni kitu kingine kabsa......hata zaman kuna wasanii walihit na ngoma moja mbili wakapotea na kila wakijaribu kurud hamna kitu..........

1.harmorapa sio msanii huyu analazimisha nadhani management yake ilijua tu ni rahis kupata kiki kwa style alotumia na mwonekano wake
2.wale jamaa wa zenji aboys muziki waache
3.pam daffa sielewi anaimba nini
4.snura sio mwanamuziki wala shilole wanabebwa tu na mionekano nk
5.harmonize sielew muziki wake bado
6.abdu kiba anabebwa tu na jina la kaka yake
7..........
 
Mkuu malaika mtoe kwenye hiyo list huyo Dada anajua kuimba pia ana sauti flani tamu, nishawahi msikia live akiimba , kuanzia uswazi take away, zogo , nawaralua n.k yuko vizr
umemkosea sana heshima queen darleen labda humjui vizuri aisee tangu enzi za marehem roy na kina blue kiba bob jr abby skills.....na malaika na nay wamitego hapo hawafai kuwepo
 
Huwa nashindwa kumwelezea nandy,!sijui shida ni nini,siwezi sema hana sauti nzuri,,!!ila kusema anajua kuimba ama hajui ni mtihani
Nkama ana aina Fulani ya uimbaji wa kufundishwa darasani.
Ni mawazo yangu
Yule binti ana sauti nzuri anaweza akawa muimbaji mzuri kama akijifunza. Kumbuka alitokea kwenye mashindano ya karaoke. Pale anaimba nyimbo za watu. Hajakomaa ku-compose ngoma zake mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom