Mkuu wangu bila shaka maana yake ni hakika pasi na shaka yoyote.Hujajibu swali nililokuuliza.
Nakataa pia,kuna wimbo aliimba na amini,,,sijui waitwaje ni mtamu sana,(mtima wangu ..)na nyingi mnoLinah hapana aisee
Muuza nyagoNi nani?
Mkuu malaika mtoe kwenye hiyo list huyo Dada anajua kuimba pia ana sauti flani tamu, nishawahi msikia live akiimba , kuanzia uswazi take away, zogo , nawaralua n.k yuko vizrShishi
Snura
Malaika
Nay wa mitego
Queen darling
Hemedi PhD
Jokate(hajui chochote)
Abdukiba
Kwenye nyimbo yake n banana alilibamiza chini hahahatumbooo
Mm sijawahi hata kuskia nyimbo zake, simjuiHuwa nashindwa kumwelezea nandy,!sijui shida ni nini,siwezi sema hana sauti nzuri,,!!ila kusema anajua kuimba ama hajui ni mtihani
Nkama ana aina Fulani ya uimbaji wa kufundishwa darasani.
Ni mawazo yangu
Mkuu linah mtoe jamani , na sauti nzuri ya ndege mnana??Pam D
Mensen
Rucky baby
Linah
Nyimbo zote za lina nzuri ana sauti nzr sanaNakataa pia,kuna wimbo aliimba na amini,,,sijui waitwaje ni mtamu sana,(mtima wangu ..)na nyingi mno
Pam D Pam dafa bila mensen haendi studio huyu.Pam D
Mensen
Rucky baby
Linah
Paul MakondaHabarini Wadau,
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki
Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.
Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.
Hao ni:-
1) Tunda man
2) Ney wa Mitego
3) Peter Msechu
Ongezea wengine.