Ni Wapi tunakwenda?

Ni Wapi tunakwenda?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,187
Reaction score
22,816
Shule namaliza sina pa kujishikiza, nabaki najiuliza nitafanya kazi gani? Kwenye kila kampuni kazi haipatikani.

Heri kilimo ingekuwa ni nafuu, lakini pembejeo nazo leo bei juu. Heri kwa watoto wa Wakuu wanaopata kazi kwa kupitia wazazi. Hii siyo sawa kwao hii ni sawa. Mungu awape nini labda gunia la chawa.

Na sasa nareport, natafuta passport nasafiri kikafiri. Popote nitafika hata South Afrika. Nyumbani nmechoka nazidi nyanyasika. Polisi wanisaka naonekana kibaka.sababu sina kazi au sababu ya Mavazi.

Ni wapi tunakwenda?
 
Shule namaliza sina pa kujishikiza, nabaki najiuliza nitafanya kazi gani? Kwenye kila kampuni kazi haipatikani.

Heri kilimo ingekuwa ni nafuu,lakini pembejeo nazo leo bei juu. Heri kwa watoto wa Wakuu wanaopata kazi kwa kupitia wazazi. Hii siyo sawa kwao hii ni sawa. Mungu awape nini labda gunia la chawa.

Na sasa nareport, natafuta passport.nasafiri kikafiri. Popote nitafika hata South Afrika. Nyumbani nmechoka nazidi nyanyasika. Polisi wanisaka.naonekana kibaka.sababu sina kazi au sababu ya Mavazi.

Ni wapi tunakwenda?
Tunakwenda mbinguni
 
Umenikumbusha 1996 Sugu Moto Chini.
 
Back
Top Bottom