Ni wapi penye unafuu!

bora nyoka aisee...hao vifaa huko chini ni hatari...
 
dah.....kwa nini jamaa akumbwe na hatari namna hiyo....hapo na mti unakatika taratibu.......
 
dah.....kwa nini jamaa akumbwe na hatari namna hiyo....hapo na mti unakatika taratibu.......
Preta huyo jamaa alikuwa anakata huo mti mara simba akatokea, akaona apande mtini. Hii ni fundisho unapofanya jambo lolote unatakiwa ufanye kitu kinachoitwa @Risk @Assessment
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…