Ni wapi nitapata mtu wa kuniingiza katika uchawi?

Kuna dada anafanya kazi NSSF mkoa flan
1. Anajiita Mwami kama wewe, as nick name
Jina lake halisi ni Mwamvita

2. Status zake za mara kwa mara zinafanana kidogo na ulichoandika

Labdaaa...[emoji848][emoji848]
Am jus saying
 
Kuna mmoja mwanga humu namjua. Na anaongoza kubisha kwenye mada kama hzi. Anakuja sasa hiv
 
Lengo lako siyo "baya" Ila uchawi huwa na lengo baya,ovu,hatarishi,umiza,haribifu,zubaisha,katisha,lemaza,pumbaza,hangaisha,kwaza,tokomeza,kuua nk.Sasa mpaka hapo,bado unautaka uchawi?
 
Watu wanafikiri uchawi ni maarifa yanayojitegemea na kufanya kazi kama sayansi ya maumbile ya asili. Sio, uchawi ni utendaji wa roho ovu kwa malengo maovu kutoka ufalme wa uovu.
 
+255715796217 anaitwa Fadhaget ana madarasa yake kila siku ya Jumamosi kule Salasala.
 
Una utani wa kuchekesha🤣
 
Pia wewe umezungumzia uchawi usio na tija, kweni kama anataka kua mchawi ila asiharibu maisha ya mtu mwingine Kuna kosa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…