Ni wapi nitapata hii Radio ya hii kampuni?

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
544
500
Nilinunua radio ( home cinema) zamani kidogo kwenye mwaka 2007/9 kupitia ndugu yangu aliyekuwepo Africa ya kusini na kuileta hapa nyumbani.

Bahati mbaya vibaka walivunja na kuiba hiyo radio na kuniachia subwoofer yenye namba za udahili subwoofer model micro 1500dssw.

Nilikuwa nahitaji radio hii ikiwa full, naambatisha na picha zake hapa chini. Kwa mtu ambaye anawezakunisaidia upatikanaji wake naomba msaada wake tafadhali.
IMG_1618.jpg

IMG_1617.jpg
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
35,521
2,000
Eh bana siko familiar nayo ila inaonekana ni brand ya kijapani! Sema tu kwa sasa kampuni imeuzwa kwa muhindi ndio anafyatua hayo ma products maybe uitafute mitandaoni huko
 

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
9,682
2,000
Kivipi mzee sisi wengine mbona tupo kwenye green pastures sema nyinyi kazi zikitoka mnaona za CCM so hamuombi badilisheni mentality
Tatizo sisi wengine hatujulikani, tukituma CV mlinzi anatupa palepale getini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom