Mpauko R.I.P Jan 19, 2019 2,323 3,353 Jul 22, 2019 #1 Habarini wanaJamii! Samahani naomba kujulishwa inapopatikana tiba ya njia ya Ozone. Ozone ni oksijeni yenye O tatu. Tiba hii inapatikana wapi kwa sasa, zamani ilikuwa inapatikana hospitali ya moyo ya THI kwa dokta Masau. Natanguliza shukrani.
Habarini wanaJamii! Samahani naomba kujulishwa inapopatikana tiba ya njia ya Ozone. Ozone ni oksijeni yenye O tatu. Tiba hii inapatikana wapi kwa sasa, zamani ilikuwa inapatikana hospitali ya moyo ya THI kwa dokta Masau. Natanguliza shukrani.
Extra miles JF-Expert Member Apr 18, 2018 3,319 4,352 Jul 24, 2019 #2 Sifahamu mkuu ila ningependa kufahamu pia kupitia huu uzi
Ferruccio Lamborghini JF-Expert Member Apr 15, 2020 1,664 2,517 Jun 6, 2020 #3 R.I.P bwana Mpauko Sent using Jamii Forums mobile app