Ni wapi naweza kujifunza uchawi?

Ni wapi naweza kujifunza uchawi?

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,328
Reaction score
4,255
Wadau na wajuzi wa mambo mliopo humu ndani ya jukwaa hili leo nakuja na ombi lenu la jinsi gani naweza kujifunza uchawi.

Nimejikuta natamani sana kujua elimu hii ya giza but the problem is, i don know where to start.

Guys kama unajua wapi ninaweza kuanzia au nini cha kufanya niambie tafadhali.

Nina sababu za msingi za kutaka kuijua elimu hii ya uchawi.
 
Back
Top Bottom