Ni wapi hapa?

Mambo vp NN??????, 2016 inakuwa blue hiyo Hillary anaikamata heheheheheh!!!!!!!!

Mambo bien.

I was on Team Hilary way before y'all jumped on the bandwagon.

I was basically her sole supporter in here in 2008.

But I don't think she will win though.
 
Let not your heart be troubled babe coz you're now safe in my big strong hands.

I'll whup his ass to a bloody pulp if he continues to pick on you.

Jamiani English ni nzuri,ukitusiwa kwa Kimombo wala haiumi...kwi kwi kwiiii....hili ni tusi langu la kwanza mwaka huu kwa Lungha ya Malkia hureeeeeeee!
 
Mambo bien.

I was on Team Hilary way before y'all jumped on the bandwagon.

I was basically her sole supporter in here in 2008.

But I don't think she will win though.

Yetu macho mwana!!!!!, katika list ya GOP so far sioni mtu anayeweza hata kudebate na Hillary!!!!!
 
Yetu macho mwana!!!!!, katika list ya GOP so far sioni mtu anayeweza hata kudebate na Hillary!!!!!

Ni wazi utaona hivyo kwa sababu tayari uko biased. Hivyo sishangai kabisa wewe kuona na muono kama huo.

Halafu, kama kweli wewe ni mfuatiliaji mzuri wa hizo siasa zao basi utakuwa unajua kwamba umahiri wa kudebate si ishu kivile.

Hilary huyo huyo alikuwa anamchakaza vibaya Obama kwenye debates wakati wa primaries lakini Obama akaibuka kidedea.

Hata John Kerry ali-sweep debates zote tatu dhidi ya W lakini akagaragazwa.
 
Hapo itakuwa Maganzo Shinyanga na Mbuguni Mererani Manyara ... Chezea Diamond na Tanzanite weweee.... Mtajuta kutawaliwa na CCM ...
 
Dar es Salaam in 500 yrs to come...!
 
kwa huu mtihani inaonesha tuko mwaka gani...?

probably Year 2090:see the question and the answer together

ah haha haha hahaaaa................BRN hiyo Mkuu, kwakweli you have made my day
 
Thanks babe, I feel more safe in your chest surrounded by your hands :A S 11:

Thanks babe

I get it 'cause I got it

I got it so I get it

I give you some til' you say, Oh now I get it!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…