Darkhorse001
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 310
- 548
Habari za muda huu wakuu...hongereni Man City na ubingwa wa 3 mfululizo.
Tuachane na hayo kuna mdogo wangu (mtoto wa baba mkubwa) kamaliza kidato Cha nne mwaka Jana! Ndoto na Lengo lake kubwa ni kuja kuwa daktari kama kaka ake hapa [emoji23][emoji23]. Sasa kafanya mtihani na kafaulu kwa division I point 16! Selection zimekuja kachaguliwa ualimu wa physics na mathematics pale chuo Cha ualimu Tabora!
Sasa hapo ndipo dilemma ilipoanzia...kusema aende chuo Cha afya Cha binafsi, Mzee wake amekataa anadai aende huko huko alikochaguliwa (Mzee ni mtu wa kanisani sana, so anaamini ni mpango wa Mungu), tumejaribu pia kumshauri dogo aende tu advance lakini anaogopa ule msuli wa PCB.
Nikaona sio mbaya kulileta huku jukwaani Ili kupata ushauri zaidi kwamba dogo afanye Nini kwenye situation kama hiyo.
Ahsanteni [emoji120]