Ni wapi Dar naweza pata huduma ya massage nzuri?

Ndio nimechoka sana viungo vyote vinauma.......

mmhh haya
karibu kipande hii dear..

ntakuanzia shingoni mpaka ukucha wa mguu..
mmmhh baada ya hapo uta relax kwenye jakuzi.
halafu ntakutengenezea supu..
mmhh kwa hilo joto la Dar
bore tufungue champagne
au wa onaje dear ???
 
mmhh haya
karibu kipande hii dear..

ntakuanzia shingoni mpaka ukucha wa mguu..
mmmhh baada ya hapo uta relax kwenye jakuzi.
halafu ntakutengenezea supu..
mmhh kwa hilo joto la Dar
bore tufungue champagne
au wa onaje dear ???

Shukran sana na mie nimekuwa bubu nafata usemayo tu........
 
Niwache nioongee kwa ishara tu maana we acha tu...............

mmmhh ishara do tamu zaidi
maana ntakaa hapo nikukodelee macho..
niyalegeze kidogo, nitabasamu kwa mapozi.
mmmhh ngoja niachie hapo..

maana ntakuwa sikueelewi..
basi na mie ntaongea na "body language"
hahahha lol
 
mmmhh ishara do tamu zaidi
maana ntakaa hapo nikukodelee macho..
niyalegeze kidogo, nitabasamu kwa mapozi.
mmmhh ngoja niachie hapo..

maana ntakuwa sikueelewi..
basi na mie ntaongea na "body language"
hahahha lol

Kitakachofuata ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii lol
 
Kitakachofuata ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiii lol

mmmhhh kwenye hatari na danger huko bado sana dear
hahahahah lol

hapa naoana tunacheza soccer weye wajifanya wajua sana..
basi wapiga chenga zako halaf wanyanganywa mpira..
waonaje kama ukinirushia pasi ??

mmhhh kwenye hatari na danger tutafika
lakini taratibu ..
hutaki kuchoka kabla hujafikia goli dear
hahahah llol
 
Napita tu jamani sisemi kitu..:car:
 


Best, mhh! kweli una full info . . . . ipo namna . . .

Inanikumbusha jamaa yangu moja alikwenda Message Centre moja Masaki akapigwa na huduma ya ziada. Jamaa ikawa hata siku za kazi inabidi atoroke kwa ajili ya "Massage" alipoona bado usumbufu akaamua kumwajiri huyo binti aliyekuwa anmpatia huduma ya ziada + Full kumpangishia nyumba.

Nija-touch base naye siku nyingi sijui wanaendeleaje.

Ila kama unakwenda ni wazo jema kuongozana na spouse wako for similar treatment ya massage ya ukwelii. inasaidia sana.
 

mimi kama
Fernando Torres​



Nikifika kwenye kumi nanane kinachofata goli sina chenga chenga natumia akili zaidi na magoli yangu hupendwa sana na mashabiki wangu..........
​
 

Thanks for that information!!
Swali: Je zipo massaging parlours bubu hapo Dar? Mimi nataka hizo bubu za uchochoroni/underground
 
Hujasema unataka aina ipi ya massage pengine ungepata msaada zaidi:twitch:
 
Nenda mpaka central,fuata ile barabara ya gari za ubungo mbele kidogo kuna round about,elekea kushoto kuna Hotel Continental. Kuna mamisi humo!ela yako yaenda kihalali. Njia ikiwa ngumu,tokea pale posta ,askari mönument shuka na samora road mpaka ile round about ndo ufike hotel continental. Jiangalie ukitokea samora road ni one way ivyo barabara hii inayopita ofisi ya tra upite kwa guu lako ama sivo utatulipa faini!
 
Wakuu JF,

naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata huduma ya massage nikiwa Dar. Naomba iwe ni sehemu safi yenye hadhi, siyo uchochoroni.

Manzese darajani, uliza kwa Ngeta au mfuga mbwa :sick:
 
mimi kama
Fernando Torres​



Nikifika kwenye kumi nanane kinachofata goli sina chenga chenga natumia akili zaidi na magoli yangu hupendwa sana na mashabiki wangu..........
​

hahahahaha lol
haya mkuu nimekusikia dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…