barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Sijajua jukwaa sahihi la kuweka uzi huu, mniwie radhi kama hapa si mahali pake.
Nataka kujua kwa Dar es salaam ni wapi naweza pata viatu vya safari boots mtindi/design tofauti. Nataka pair 2 tu.
Kazi yangu siku hizi nibya kutembea sana, nahitaji viatu imara na kuna jamaa wangu aliletewaga na rafikibyake aina hii ya viatu toka 2011 viatu bado vinapeta.
Mi nataka vyenye shepu nzuri maana kuna vingine vina shepu mbaya!