Ni wapi Dar es Salaam naweza pata viatu vya safari boots?

Ni wapi Dar es Salaam naweza pata viatu vya safari boots?

Hizo safari boots kama nilizoweka hapo juu ndo range yake hiyo?? Kikiwa chini ya 80 sina tatizo nalo, nitajibana ila kilo tatu?? Duh!
Huwa nina tabia ya kununua viatu imara na imara huipati kwa bei rahisi ila unavaa miaka kama sita au nane hivi.
Sina uhakika mkuu.
 
IMG-20170901-WA0010.jpg
kama hiko 50,000/ at bata shop,kariakoo
 
View attachment 579584 Eid Mubarak!
Sijajua jukwaa sahihi la kuweka uzi huu, mniwie radhi kama hapa si mahali pake.
Nataka kujua kwa Dar es salaam ni wapi naweza pata viatu vya safari boots mtindi/design tofauti. Nataka pair 2 tu.
Kazi yangu siku hizi nibya kutembea sana, nahitaji viatu imara na kuna jamaa wangu aliletewaga na rafikibyake aina hii ya viatu toka 2011 viatu bado vinapeta.
Mi nataka vyenye shepu nzuri maana kuna vingine vina shepu mbaya!
View attachment 579584 View attachment 579585 View attachment 579587
Mtaa wa Ufipa....kidding.
 
Back
Top Bottom