Ni wanawake tu

Ni wanawake tu

mzungukichaa

Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
57
Reaction score
27
(Kiswahili cha jirani...uelewe tu...)

Wanawake to ndio wenye...

1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!!

Tuhurumie Baba


2. Ako na furushi la nguo kwa nyumba lakini hanaga kitu ya kuvaa mkienda mahali!!

Tuonekanie Baba


3. Anakasirika ukikosa kumtumia text ya good nyt lakini yeye akikosa we unafaa ku understand!!
Waelewe Baba


4. Ako na viatu pair kama 50 lakini hanaga viatu za kuvaa akienda church!!
Mungu wasamehe


5. Akianza kuvaa saa moja atamaliza saa tano na unafaa kumngoja hizo masaa zote!
si kupenda kwao Baba


6. Akienda salon anakaa kutoka asubuhi mpaka jioni na unafaa kumngoja pia na usilalamike!!
Tupe moyo Baba


7. Ako na mafuta different ya kujipaka mikono, shingo, kisogo miguu, ---- mpaka kisigino!!
Mungu ni wewe uyajuaye haya


8......endeleza uchambuzi
 
hahaha nimecheka sana eti tuhurumie baba

hapo number 2 kwenye kuvaa huwa ni shida naweza kukaa nawaza
hivi kesho nitavaa nini na muda huwa nalalamika sina nguo ya kuvaa
 
Umenifuraisha, tupe moyo baba.Na iyo no. moja naisi ni kaugonjwa ka wengi.
 
Hahaah mafuta ya kupaka hadi kisogo huhuhuuuh u made my day aixeee. So kupenda kwetu baba!
 
Ahahahahaaa.

8.Ako na credoo kwa sim yake hawezi piga atakubeep,
Tumewadekeza Baba.
 
Back
Top Bottom