Wengi (zaidi ya wawili)Aziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.
Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.
Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza nyumba ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.
Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.
Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.
Hahahaaaa sisomagi hadithi mimiiTulio ishia kusoma neno. aziza tuko wangap[emoji855]
Hoja fikirishi, ila leo tuna battle of Johns, akili ziko huko kwenye ufunguziAziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.
Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.
Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza nyumba ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.
Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.
Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.
Wanaume wote wanaweza labda wavulana tuAziza alikuwa binti mrembo, ule urembo wa kustua mioyo ya wanaume. Rangi ya African Queen, ngozi nyororo na tambo la mwanamke halisi wa ki-Africa.
Aziza ni career woman, na atafika mbali sana kwani akiwa na miaka 27 alishapata shahada ya uzamili.
Kijana Shingo alimpenda sana Aziza. Shingo ndiyo alikua amemaliza nyumba ujenzi wa nyumba yake na kuhamia mitaa ya Papai.
Siku ya kwanza kufanikiwa kuongea na Aziza ni alipomkaribisha achote maji kwake kwani Shingo alikuwa na kisima. Kufupisha habari mtongozo ulifuatia. Aziza alisema hawezi kujiingiza kwenye mapenzi kwani ana ujauzito wa miezi miwili na Baba mtoto alipata ajali na kufariki.
Shingo alikubali majukumu yote na kutoa posa kwa wazazi wa Aziza.
Kwa nn usingempongeza kijna shingo kwa kukubali kubeba boga na ua lake?Jamani hamnaga hao, hakunaga hao hata ukizaa tu unalipata libwana unaeleza ndoto zako nataka uwe mfano kwa mwanangu anakujibu kwani hana baba zake wadogo? au baba wa ubatizo (kama vile madhehebu yote yana baba wa ubatizo)
Hongera kwa Aziza.
Kama nakufananisha vile?Jamani hamnaga hao, hakunaga hao hata ukizaa tu unalipata libwana unaeleza ndoto zako nataka uwe mfano kwa mwanangu anakujibu kwani hana baba zake wadogo? au baba wa ubatizo (kama vile madhehebu yote yana baba wa ubatizo)
Hongera kwa Aziza.