Ni wanaume wangapi wanaweza maisha haya?

Ni wanaume wangapi wanaweza maisha haya?

Mmmmh!! Aise....mimi siwezi kabisa aisee kwasababu naujua moyo wangu ulivyo na wivu wa ajabu. Nikipenda nakuwa kama mjinga...ntakuja kuanzisha thread ya situation yangu ya mapenzi one day. Ngoja nijaribu kuweka mambo sawa kwanza nione hatma ya mwisho iko vipi!
 
Huyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu.

Huyu kaka anaishi na girlfriend wake yeye hana shughuli maalumu, haya niliyagundua baada ya kunipigia simu na kuongea na kukaribshwa nyumbani. Wifi yangu ni changu na ajajiuza kwenye mahoteli makubwa, wateja wake wengi ni wazungu na kule anawaambia yuko single.

Kisa cha kuleta habari hii hapa ni kuwa swahiba amenipigia simu amechanganyikiwa, wifi amerudi kutoka kazini na engagement ring, kuna mzungu amefika bei anataka kuchukua jumla.

Nyumba wanauoishi ni ya urithi ya wifi aliachiwa baada ya wazazi wake kufariki na ndugu zake wametayanyika, DSM yuko mwenyewe.

Hivi ni wanaume wangapi wangeweza kuishi maisha haya?

Very few men
 
Achilia mbali kuweza!!

Kuishi na mwanamke huku huna kazi hii ni changamoto ingine!!

Nadhani ungeuliza, unawezaje kuishi na mwanamke huku huna kazi??

Alafu ungemalizia na hoja yako ya mwanaume kuishi na muuza mwili wake!!
 
Kutokuwa na kazi maalum kwaweza kumkuta mtu yeyote akawa anabangaiza anapata chochote (ubaya kama amekaa kama mzigo tu) ila isiwe ticket ya yeye kutokupendwa, kuwa na mtu muaminifu n. k.

Kama alikubali kuishi kwake akijua ni changu sawa ila kama hakuju sio vyema.

Halafu acheni unafiki ina maana uko na mahusiano na mtu ana nyumba nyumba ukapange?
 
"kijiji cha wavuvi" na wasi wasi kuna magari yatakuwa na hio route
 
Hakuna mwanaume wa kweli anayeweza hayo maisha..hapo kutakuwa na tatizo kwa rafiki yako hasa kwenye mazingira aliyokulia ..
Ni aibu kwa mwanaume yoyote yule ni vyema amuache binti aolewe na mwanaume wa kweli
 
Mkuu...
ni masikitiko kwa habari/mada hii uliyo ileta ila Mungu anaweza kumbadilisha hakika wala tusifanye kumhukumu mwenzetu na kuona anapotea.

Sisi pia wengine tuna mapungufu yetu.
Mungu aweze kumsaidia huyu kijana maana naamini maisha hubadilika muda wowote, saa yeyote na wakati wowote.
 
sometimes usipende saaana kusema ya watu,,,,, ni maisha yake kayachagua....hizo habari za engagement na kahaba wapi na wapi......mwache wala usiwe PA wake.....
 
Dogo atakuwa kalishwa limbwata la kinyamwezi aisee
 
Back
Top Bottom