mchecheto
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 1,532
- 1,479
acha kutudanganya...hii habari imewekwa mtandaoni fb na EATV ww ume edit eti ni dar akati ni jamaa huko kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sky EclatHivi ndiyo maisha ya wanaume wa Dar haya?
Huyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu.
Huyu kaka anaishi na girlfriend wake yeye hana shughuli maalumu, haya niliyagundua baada ya kunipigia simu na kuongea na kukaribshwa nyumbani. Wifi yangu ni changu na ajajiuza kwenye mahoteli makubwa, wateja wake wengi ni wazungu na kule anawaambia yuko single.
Kisa cha kuleta habari hii hapa ni kuwa swahiba amenipigia simu amechanganyikiwa, wifi amerudi kutoka kazini na engagement ring, kuna mzungu amefika bei anataka kuchukua jumla.
Nyumba wanauoishi ni ya urithi ya wifi aliachiwa baada ya wazazi wake kufariki na ndugu zake wametayanyika, DSM yuko mwenyewe.
Hivi ni wanaume wangapi wangeweza kuishi maisha haya?
Kuna kujielewa na mahaba mkuu.Huo ni uboya wa grade A.....alafu usiseme alikukaribisha kwake bali alikukaribisha kwa sugar mami wake.....mana yeye hana chake pale....yan ni km kaolewa tuu....matrelinear relationship..
Kwa kwel kwa mwanaume anaejielewa hawez kukubal ujinga km wa huyo jamaa