Ni wakati wako sasa dada/binti

Apostle Jonathan

New Member
Nov 12, 2018
1
0
Ninaongea na wewe Dada/Binti ambaye unahitaji mume mwema wa maisha yako,tambuwa wakati umefika sasa huu ni wakati wa wewe kupokea mume wako,ni wakati wa kusheherekea harusi yako,ni kweli umeomba sana ni kweli umelia sana juu ya kupata mume kwa mamlaka niliyopewa na Mungu Mkuu yani YAHWEH nakutamkia sasa unakwenda kupokea mume wako sasa na utafurahia na kusherekea harusi yako.

Kila kifungo kilichokufunga,kila dua na matambiko yaliyofanywa ili usiolewe nina tawanya na kuteketeza kwa moto wa Roho mtakatifa na kwajina la Yesu kristo Kila kafara zilizofanywa kila roho mbaya na laana zinazo kufatilia nina zipinga na kubatilisha kwa jina la Yesu kristo.

Pokea mume wako sasa,pokea ndoa njema sasa.AMEEN

Apostel Jonathan Kamwavah's
Kwa ushauri,Maombezi au kama unaswali piga simu 0715717651 au 0769186142
FB_IMG_1542002566409.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom