Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Chama kimeshika majiji yote chini ya mbowe kwako ww mafanikio ni nini?mtu yeyote anaye kubali kununuliwa hulaaniwa fuatilia historia ya yuda escaliuti
Hayo Majiji yanaongozwa kwa Ilani gani? CHADEMA imeuwawa kizembe sana na Mbowe aliyejiokotea oil chafu toka CCM. Nilishngaa kusikia Sumaye huyuhuyu akiinanga CCM inayompa kushiba hadi Leo? Mzaha gani huu?
 
Mnamwona Mbowe mjinga wakati amewachukulia nusu ya nchi afu unaumia tena unataka akuchukue wewe
Ccm mnataka Mbowe aachie kiti ili mwahadae wanachadema ?Na kama kweli una Nia njema na Chadema kwanini hujui issue iliyomtoa Dr ,Slaa kwenye Chama
Slaa ameondoka chadema kumpinga fisadi full stop
 
Baada ya kushindwa kuwaweka wakuna m1= kitila
M2= mwigamba na m3, ambao wamerudi kwenye chama vhao baada ya kushindwa kumpindua mbowe.
sasa mnataka kuleta upumbavu mwingine .
Ni kheri mbowe aendelee hivyo hivyo kwani kila siku chama kinapata wafuasi vijana wenye akili bila kununuliwa
Rejea tafiti za twaweza ingawa ni wanamilikiwa na ccm
 
Kushika majiji yote ilikuwa ni "pi" kwa kuwa kazi kubwa sana ilifanywa na Slaa na wanachadema asilia.2015 ilikuwa ni zaidi ya majiji kama ushauri wa Slaa ungefuatwa.

Opportunity iliyopotea 2015 inabadilika na kuwa kaburi la Chadema.
Umeanza utabili?
 
Ninyi huko CDM sijajua akili zenu ziko wapi?

Mnashindwa hata kujua kuwa mnatekeleza ILANI ya CCM?
ILANI inayotekelezwa sasa ni ya CCM haijalishi wewe ni mpinzani au la.
 
Mungu wa mbinguni,angalia hiki kizazi chetu,fungua macho na masikio yao ili wapate kuona mbele yao,wakiulizwa watoe jibu,wakionyeshwa waone,wakiambiwa wasikie. We Bwana nakusihi usiruhusu hii roho ya mashindano na kukaza shingo bali ukawape ufahamu wakapate kuiona kweli iliyowazi mbele yao. Amina.
 
Hata lowassa naamin anatamani kuhama,lakini anogopa uso wake atauweka wapi
 
Chama kimeshika majiji yote chini ya mbowe kwako ww mafanikio ni nini?mtu yeyote anaye kubali kununuliwa hulaaniwa fuatilia historia ya yuda escaliuti
Wee angalia siasa za kipindi cha dok Slaa na sasa, maan wewe nawe kama umelewa togwa
 
Wee angalia siasa za kipindi cha dok Slaa na sasa, maan wewe nawe kama umelewa togwa
Slaa alikuwa vizuri tatizo ni shuntamà yà lile pashkuna la kihaya, na kwa vile Dr. machejo aliyajulia uzeeni kazi ilikuwa rahisi.
 
Sesimba,
Kama usemayo ni sahihi basi hakuna haja ya kuwanyooshea vidole wanaCCM wote kuanzia kina Makonda na wengineo maana hawajawahi kukutwa na hatia kwa makosa mnayowatuhumu huku mitandaoni.

Kuna watu huwa wamechafuka kiasi kwamba wanakosa uhalali wa kisiasa wa kushawishi kuwaongoza watu hata kama kisheria hawajakutwa na makosa yoyote
 
Back
Top Bottom