Ni wakati wa Mbowe kuwaachia akina Heche, Lema uenyekiti

Uko sawa kabisa ilitakiwa apewe hata ulinzi wa vijana wa kumfuatilia ktk safari zake. Na mwenyekiti alichukua hatua gani baada ya Lisu kumtumia msg ya kumweleza kuwa kuna gari linamfuatilia wakati akielekea nyumbani. Inabidi watanzania tuwe serious inapotokea issue kama hiyo. Ilibidi mwenyekiti angechukua hata wenzake watatu wakamfuatilia Lisu ili wajue ni gari gani inayomfuatilia Lisu na wangefanya hivyo wangewawahi wauaji.
Kweli ndugu, CHADEMA haikuwajibika kumlinda TL hakika kwa hili mwenyekiti amezembea sana sasa tazama maumivu makubwa anayapata TL na hata wapenda haki pia.
 
Ndio maana baada ya Ile u-turn ya comrade Mbowe wengine tuliona ni wale wale tu.

Upinzani gani unaridhia ma serikali, unafyata kirahisi na kuiogopa serikali kiasi hicho.

It's true, Mbowe + Mashinji wameshindwa kazi, waachie wengine sasa.
 
TL kapigwa risasi sababu alionekana yeye pekee amebaki mstari wa mbele anapambana na hakuwa na msaada kutoka kwa wengine hivyo alionekana ni threat kubwa kwa watawala.

Ni kwanini hakupewa ulinzi na chama hata baada ya kutangaza anafatiliwa?
Inawezekana CDM walishindwa kumpa ulinzi kwa makusudi au kwa kuzbea.Mtoa post acha kuwaponza wenzio, SERIKALI si ya mchezo mchezo,jaribu hayo uliyoandika yote ndiyo utajua kua kwanini kisigino hakikai mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulinzi wa chama kivipi wakati watu wanavamia na siraha za kivita? Ulinzi mzuri ni watu wenye akiri kama ya Lisu kuwa wengi zaidi ili hata hao wauwaji washindwe kujua wamuue nani wamuache nani lakini si hivi ilivyo yaani wauwaji wanajua wakimuua tu Lisu wametumaliza kabisaa, sasa tunaona mbali hatumtaki Mbowe japo tunamshukuru kwa kutuvusha kipindi kile cha mapandikizi na wasaliti kama ACT Kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inapaswa raia kwa wingi wao sasa hilo unafikiri litawezekana lini?
Kwanini isingekuwa tu vizuri kumlinda kwanza huyuhuyu mmoja ili hadi hao wengine wengi wakipatikana?
 
Mkuu umeongea yote ...CHADEMA hatuna budi ndugu zanguni na sisi tujaribu kuwa na demokrasia kama jina la chama chetu..Mbowe tosha wape wenzio nafac

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo akiwaachia ndo hamtawapiga risasi? Mbona mnamng'ang'ania lipropumba fulani kwa gharama kubwa tena za kodi yetu tangu enzi na enzi mnamuweka kwa nguvu na watu hawasemi? Ukiwa muongo usisahau na ukiwa msahaulifu usiongope
Mbowe hawezi kuenda mbali na hapo alipofikia kwa sababu na yeye ni mmoja wao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada Je unayo imani na MBOWE kama mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani TANZANIA?
Ninayo imani nae ila kuna maamuzi magumu ambayo huwa anashindwa kuyatekeleza sasa cjajua labda anayo huruma sana. Ila imefikia muda wa yeye kupumzika na kuwaachia vijana ili awe mshauri wao
 
Ulinzi wa chama kivipi wakati watu wanavamia na siraha za kivita? Ulinzi mzuri ni watu wenye akiri kama ya Lisu kuwa wengi zaidi ili hata hao wauwaji washindwe kujua wamuue nani wamuache nani lakini si hivi ilivyo yaani wauwaji wanajua wakimuua tu Lisu wametumaliza kabisaa, sasa tunaona mbali hatumtaki Mbowe japo tunamshukuru kwa kutuvusha kipindi kile cha mapandikizi na wasaliti kama ACT Kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujasema hatumtaki Mbowe, Mbowe tunampenda sana ila tunaomba awe katika nafasi nyingine tuonavyo kwasasa aendani na kasi ya vijana. Yaani tunamtaka mwenyekiti ambaye akisema wiki ijayo ni maandamano. Inatakiwa kweli yawe maandamano hata kama polisi hawatatoa kibali lazima tunaandamana yaani mbwai na iwe mbwai hapo serikali itaeshimu opposition na kujua kumbe wote ni Watanzania sio kama sasa wanaojukikana ni watanzania ni mwanaccm, sie wengine tunatoka Zimbabwe
 
huo ni uhuni sasa,haya ni maoni yangu...nilitegemea watu km nyinyi mliolishwa yamini mtakuwa wakali
ukweli ni kwamba mbowe ameshachoka,movement inamshinda..hii haimaanishi sikubali mchango mkubwa aliotoa kwenye kudai mabadiliko chanya nchini.
Na ni kwa nini uwasakizie wengine kuchukua nafasi ya MBOWE na si weye?
 
Wala sio msukule wa Lumumba haya haya ndio tuliyokuwa tukiyaongea kuhusu Magufuli. Na haya haya ndio yaliyosababisha mpaka sasa Lisu yuko Nairobi.

Jaribuni kukubali mawazo au kujadiliana siyo kuwa kila moja anaetoa mawazo yake ni Lumumba. Mie ni mpenda haki na niko opposition yaani Chadema muda mrefu ila penye ukweli tuache ukweli itawale.

Ni wakati wa Mbowe kustep down awe mshauri kwenye chama au na cheo kingine lakn siyo ya uenyekiti. Mbowe ni muoga tuseme ukweli
Mtaangaika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TL kapigwa risasi sababu alionekana yeye pekee amebaki mstari wa mbele anapambana na hakuwa na msaada kutoka kwa wengine hivyo alionekana ni threat kubwa kwa watawala.

Ni kwanini hakupewa ulinzi na chama hata baada ya kutangaza anafatiliwa?
Hilo nalo neno hivi tukimpoteza lisu leo kuliziba pengo unajua itachukua muda gani ukizingatia viongozi wote.wachama waogo kuanzia mbowe lowasa na wengineyo kidogo lema naye baada ya jela amerudi nyuma amepata kauoga kakuiacha familia yake ukiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom