Kweli ndugu, CHADEMA haikuwajibika kumlinda TL hakika kwa hili mwenyekiti amezembea sana sasa tazama maumivu makubwa anayapata TL na hata wapenda haki pia.Uko sawa kabisa ilitakiwa apewe hata ulinzi wa vijana wa kumfuatilia ktk safari zake. Na mwenyekiti alichukua hatua gani baada ya Lisu kumtumia msg ya kumweleza kuwa kuna gari linamfuatilia wakati akielekea nyumbani. Inabidi watanzania tuwe serious inapotokea issue kama hiyo. Ilibidi mwenyekiti angechukua hata wenzake watatu wakamfuatilia Lisu ili wajue ni gari gani inayomfuatilia Lisu na wangefanya hivyo wangewawahi wauaji.