Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Kama Kweli Mnataka Aondolewe Inabidi Ninyi Ukawa Mtumie Mtu Mwingine Maana Ikionekana Ninyi Ndo Hammpendi Mnamtafutia URC KabisaHuu ni wakati wa kumchochea Rais John Magufuli,Huu ni wakati wa kumchochea Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Huu ni wakati wa Kumchochea Waziri Mkuu Kasim Majaliwa,
Hawa wote tunapaswa kuwachochea ili washauriane na kumtimua kazi Alexander Mnyeti Mkuu wa wilaya huko mkoani Arusha ambaye anataka viongozi wa kitaifa walioapa kuwasaidia wanyonge washindwe kujua matataizo yanayowakabili wananchi waliowapa dhamana
Ninawachochea wamuondoe Mnyeti kwenye UDC kwa kuwa mkuu huyu wa wilaya anaamini katika kulinda kitumbua chake zaidi kuliko kutatua kero za wananchi
Ninawachochea wamfukuze Mnyeti katika Udc kwa kuwa Mnyeti anatumia madaraka yake vibaya kuwakamata watoa taarifa juu ya madhila yanayowakumba watanzania ambao Rais Magufuli ameapa kuweka mazingira mazuri ya kutatua kero zao
Huijui historia ya mnyeti na magufuli hivyo ni rahisi sana kulifikiria hilo.Huu ni wakati wa kumchochea Rais John Magufuli,Huu ni wakati wa kumchochea Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Huu ni wakati wa Kumchochea Waziri Mkuu Kasim Majaliwa,
Hawa wote tunapaswa kuwachochea ili washauriane na kumtimua kazi Alexander Mnyeti Mkuu wa wilaya huko mkoani Arusha ambaye anataka viongozi wa kitaifa walioapa kuwasaidia wanyonge washindwe kujua matataizo yanayowakabili wananchi waliowapa dhamana
Ninawachochea wamuondoe Mnyeti kwenye UDC kwa kuwa mkuu huyu wa wilaya anaamini katika kulinda kitumbua chake zaidi kuliko kutatua kero za wananchi
Ninawachochea wamfukuze Mnyeti katika Udc kwa kuwa Mnyeti anatumia madaraka yake vibaya kuwakamata watoa taarifa juu ya madhila yanayowakumba watanzania ambao Rais Magufuli ameapa kuweka mazingira mazuri ya kutatua kero zao
Tena nadha wataamuharakishia uwaziri kamili wa wizara fulan baada ya fulan kutumbuliwaKama Kweli Mnataka Aondolewe Inabidi Ninyi Ukawa Mtumie Mtu Mwingine Maana Ikionekana Ninyi Ndo Hammpendi Mnamtafutia URC Kabisa
Mimi sipo Arusha nimeliona kwenye vyombo vya habari utendaji mbovu sanaUzuri wa Magu
Hana muda wakufuatilia chuki za watu hovyo hovyo
Kama anamapungufu huyo Dc ni Rahidi kufahamu.
Nyie watu wa Arusha hakuna siku mlisha mpongeza RC au DC
Sasa sijui mnajisahaulisha kuwa hamfahamiki!!!
Rais wangu Ukumbuke kale kamsemo
UKIONA ADUI YAKO ANA KUPONGEZA RUDI NYUMA UJIULIZE NIWAPI UMEKOSEA,
NA UKIONA ANALIALIA.....
Wewe nani!!!!Mimi sipo Arusha nimeliona kwenye vyombo vya habari utendaji mbovu sana
Lugha gani hiyo!!!Kutimuliwa kwa Mnyeti hakutakuwa ni Solution ya tatizo hili la " U-MUNGU MTU" there is someone up there who believe he is instead of GOD.
Ni raia wa Tanzania ninayeilinda na kuheshimi katiba yetuWewe nani!!!!
Kwa hili la Mnyetti , huwezi shabikia hata kidogo mkuu, kwa sababu ukiangalia kwa makini hakuna kosa hapo. Kama wewe unaona uchochezi hebu tuambie ni upi na amechoea serikali na nani,? Kuhusu nini?Uzuri wa Magu