Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Huu ni wakati wa kumchochea Rais John Magufuli,Huu ni wakati wa kumchochea Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Huu ni wakati wa Kumchochea Waziri Mkuu Kasim Majaliwa,
Hawa wote tunapaswa kuwachochea ili washauriane na kumtimua kazi Alexander Mnyeti Mkuu wa wilaya huko mkoani Arusha ambaye anataka viongozi wa kitaifa walioapa kuwasaidia wanyonge washindwe kujua matataizo yanayowakabili wananchi waliowapa dhamana
Ninawachochea wamuondoe Mnyeti kwenye UDC kwa kuwa mkuu huyu wa wilaya anaamini katika kulinda kitumbua chake zaidi kuliko kutatua kero za wananchi
Ninawachochea wamfukuze Mnyeti katika Udc kwa kuwa Mnyeti anatumia madaraka yake vibaya kuwakamata watoa taarifa juu ya madhila yanayowakumba watanzania ambao Rais Magufuli ameapa kuweka mazingira mazuri ya kutatua kero zao