Ni wakati wa kumchochea Rais Magufuli amuone DC Mnyeti Huu ni wakati wa kumchochea Rais John Magufu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Huu ni wakati wa kumchochea Rais John Magufuli,Huu ni wakati wa kumchochea Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Huu ni wakati wa Kumchochea Waziri Mkuu Kasim Majaliwa,

Hawa wote tunapaswa kuwachochea ili washauriane na kumtimua kazi Alexander Mnyeti Mkuu wa wilaya huko mkoani Arusha ambaye anataka viongozi wa kitaifa walioapa kuwasaidia wanyonge washindwe kujua matataizo yanayowakabili wananchi waliowapa dhamana

Ninawachochea wamuondoe Mnyeti kwenye UDC kwa kuwa mkuu huyu wa wilaya anaamini katika kulinda kitumbua chake zaidi kuliko kutatua kero za wananchi

Ninawachochea wamfukuze Mnyeti katika Udc kwa kuwa Mnyeti anatumia madaraka yake vibaya kuwakamata watoa taarifa juu ya madhila yanayowakumba watanzania ambao Rais Magufuli ameapa kuweka mazingira mazuri ya kutatua kero zao
 
Kama kweli JPM kweli yupo makini..

Ndani ya 24hrs laZima awe amefanya kitu..

Na ni kumtimua tu huyu DC aliyemkamata mwandishi wa Habari wa ITV kwa kosa ambalo kiuhalisia halipo.
 
Huu ni wakati wa kumchochea Rais John Magufuli,Huu ni wakati wa kumchochea Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan,Huu ni wakati wa Kumchochea Waziri Mkuu Kasim Majaliwa,

Hawa wote tunapaswa kuwachochea ili washauriane na kumtimua kazi Alexander Mnyeti Mkuu wa wilaya huko mkoani Arusha ambaye anataka viongozi wa kitaifa walioapa kuwasaidia wanyonge washindwe kujua matataizo yanayowakabili wananchi waliowapa dhamana

Ninawachochea wamuondoe Mnyeti kwenye UDC kwa kuwa mkuu huyu wa wilaya anaamini katika kulinda kitumbua chake zaidi kuliko kutatua kero za wananchi

Ninawachochea wamfukuze Mnyeti katika Udc kwa kuwa Mnyeti anatumia madaraka yake vibaya kuwakamata watoa taarifa juu ya madhila yanayowakumba watanzania ambao Rais Magufuli ameapa kuweka mazingira mazuri ya kutatua kero zao
Kama Kweli Mnataka Aondolewe Inabidi Ninyi Ukawa Mtumie Mtu Mwingine Maana Ikionekana Ninyi Ndo Hammpendi Mnamtafutia URC Kabisa
 
Huijui historia ya mnyeti na magufuli hivyo ni rahisi sana kulifikiria hilo.
 
Yani mtu anaripoti tatizo badala ya kulitatua na kushukuru kwa kukuonesha jambo wewe unamkamata huh!!!!masikini watanzania.
 
Kama Kweli Mnataka Aondolewe Inabidi Ninyi Ukawa Mtumie Mtu Mwingine Maana Ikionekana Ninyi Ndo Hammpendi Mnamtafutia URC Kabisa
Tena nadha wataamuharakishia uwaziri kamili wa wizara fulan baada ya fulan kutumbuliwa
 
Uzuri wa Magu
Hana muda wakufuatilia chuki za watu hovyo hovyo
Kama anamapungufu huyo Dc ni Rahidi kufahamu.
Nyie watu wa Arusha hakuna siku mlisha mpongeza RC au DC
Sasa sijui mnajisahaulisha kuwa hamfahamiki!!!

Rais wangu Ukumbuke kale kamsemo
UKIONA ADUI YAKO ANA KUPONGEZA RUDI NYUMA UJIULIZE NIWAPI UMEKOSEA,
NA UKIONA ANALIALIA.....
 
Mimi sipo Arusha nimeliona kwenye vyombo vya habari utendaji mbovu sana
 
Kutimuliwa kwa Mnyeti hakutakuwa ni Solution ya tatizo hili la " U-MUNGU MTU" there is someone up there who believe he is instead of GOD.
 
Kumbe DC aliyemweka ndani Liundi ni wa Arumeru basi huyu anaweza kwenda na maji and time maana hata RC alishashughulikia hiyo makitu
 
Uzuri wa Magu
Hana muda wakufuatilia chuki za watu hovyo hovyo
Kama anamapungufu huyo Dc ni Rahidi kufahamu.
Nyie watu wa Arusha hakuna siku mlisha mpongeza RC au DC
Sasa sijui mnajisahaulisha kuwa hamfahamiki!!!

Rais wangu Ukumbuke kale kamsemo
UKIONA ADUI YAKO ANA KUPONGEZA RUDI NYUMA UJIULIZE NIWAPI UMEKOSEA,
NA UKIONA ANALIALIA.....
Kwa hili la Mnyetti , huwezi shabikia hata kidogo mkuu, kwa sababu ukiangalia kwa makini hakuna kosa hapo. Kama wewe unaona uchochezi hebu tuambie ni upi na amechoea serikali na nani,? Kuhusu nini?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom