Ni wakati sasa wizara zikawa na mabasi ya mabosi na wafanyakazi!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,478
24,345
Ili kubana matumizi vyema sioni sababu mawizara kuwa na madereva wengi kiasi hiki?
wakishawafikisha mabosi maofisini hulala na kusinzia weee..
mpaka saa 10 jioni hupangusa magari tayari kuwarudisha mabosi majumbani NA kupaki magari, siku imepitaaaa....
*SEREKALI ITAFUTE UTARATIBU MZURI.
 
Mkuu hao unaowaita mabosi waliteseka kufika hapo walipo kama ni shule hakuna mtu asiyejua shule ilivyo ngumu ndo maana wengi tunaingiaga mitini, kama ni networking nayo siyo rahis kama inavyojulikana mwanaume kulia lia au kunawa mbele ya mwanaume mwenzako au hata wanawake wengine kufanya ya ajabu zaid, so system iko kwenye equilibrium. Ukitaka na ww uning'inie kwenye vx fanya lobying au piga shule huku ukimwomba Mungu wako. Kuwaombea watu wengine waachishwe kazi sababu ww umelala ni zaid ya ujinga, hakuna kitu rahis hapa duniani. Hata wajasiliamali unawaona wana mafanikio ilihal hawakupata bahat ya shule wamehangaika. Ni watu wachache sana wanaopata bahat ya mitelemko labda kuzaliwa au kutusua nayo huwez kuhoji Mungu mwenyew aliyewaleta ndo anajua kwa nin kawapa.
 
***
pole qotapin!/
dhana ni kubana matumizi.
aidha maboss hawa wawe wanayaendesha wenyewe!
 
Back
Top Bottom