Ni wakati sasa tigo mbadili jina

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,836
2,659
Sijui kama hili limeshawaingia kwenye milango yenu ya fahamu. Jina la kampuni yenu linatumika VIBAYA mno! Imekuwa ni kawaida watu kuzungumzia tigo kama njia ya haja kubwa. Neno tigo pia linatumika kuhamasisha ngono kinyume na maumbile (ulawiti). Ni rahisi sana mtu kusema 'naomba tigo' akimaanisha kulawiti. Tatizo hili limechangiwa na namna mnavyotangaza huduma zenu. Kiukweli neno tigo linakuwa gumu kutamkika kadri siku zinavyoenda. Labda tigo mtuambie mnafarijika mnavyohusishwa na njia ya haja kubwa.

Kweli jina ni lenu lakini mmechangia sana kuliletea sifa mbaya. Mnakumbuka yeboyebo? Kubazi zilipendwa sana ila tatizo sabasaba moja tu iliharibu kabisa jina na biashara ya kubazi zile. Sasa na nyie heshima yenu inashuka.

Nalisema hili kutokana na jinsi watu katika jamii wanavyolitumia kuelezea njia ya haja kubwa. Balaa zaidi ni katika mitandao ya kijamii mfano jf. Watu wameshalitohoa na kulitumia watakavyo.

Ni wakati wa kampuni hii ya simu kubadili jina sasa na kupiga marufuku matumizi yake popote. JF pia natoa wito kwenu kukataza matumizi yasio sahihi kwa jina hili katika mijadala ya humu.
 
hata likibadilishwa mkitaka kutumia hilo jina geni kwa matumizi mabaya mtatumia tuuu!
 
Tigo Tanzania hawawezi kubadili jina mpaka iuzwe au Tigo makao makuu (Luxembourg) wabadilishe jina lao, maana Tigo ni kampuni ya kimataifa, ina operate El Salvador, Mauritius, Ghana, Tanzania, DRC, Chad, Rwanda, Senegal, Bolivia, Paraguay, Colombia, Guatemala & Honduras.

Il Gambino.
 
kwa tafsiri yako waache tu? Matangazo ndo husababisha haya kutokea. Ila la tigo limekaa pabaya zaidi
 
Tigo Tanzania hawawezi kubadili jina mpaka iuzwe au Tigo makao makuu (Luxembourg) wabadilishe jina lao, maana Tigo ni kampuni ya kimataifa, ina operate El Salvador, Mauritius, Ghana, Tanzania, DRC, Chad, Rwanda, Senegal, Bolivia, Paraguay, Colombia, Guatemala & Honduras.

Il Gambino.

hapo kazi ipo! Tuombe iuzwe soon
 
Wazo zuri. Lakini kabla ya kubadili jina lazma wachunguze chanzo kilichofanya tigo litumiwe vibaya.
 
Nilishaliunga hili pendekezo nikiwa nje ya box! Aidha imefikia sasa hata kujitambulisha mbele ya watu kwamba "mimi nna Tigo" juzijuzi nilitembelewa na mkwe wangu (mjombaake Wf) ktk mazungumzo nikajikuta nimemuuliza "Unle Tigo yako ina pesa?" pokeo la wajihi wa uncle nikaliona haliko sawa, nilipom'dadisi uncle akanijibu kufuatana na mahusiano yetu agenda ile iishie pale. Ht hivyo alitamka kua vijana wa sasa wanaharibu lugha sana! Kwa vl mimi nafahamu neno Tigo mtaani linatumikaje kufuatana na rika langu sikudhania kabisa kama uncle kwa rika lake la 70's nae angelifahamu hilo! Sasa maadamu hadi wazee wameshalisikia hili budi hamna zaidi ya kulifutilia kwa mbali.
 
Kwa hiyo Masaburi naye abadili jina kwa sababu siku hizi mtu akiongea 'ujinga ' anadhaniwa anatumia tigo (ah..no) anatumia masabiri kufikiria?
 
mkuu umenena. Yani kinachotokea hapa ni taboo versus euphemism-kwamba inakuwa ngumu kwa watu sasa kutamka tigo kama mtandao wa simu. Lakini inakuwa rahisi kutamka tigo katika hali ya kuhitaji ngono kinyume na maumbile. Na hii itawakimbiza wengi toka kwenye huu mtandao kutokana na jinsi siku zinavyosogea
 
Kwa hiyo Masaburi naye abadili jina kwa sababu siku hizi mtu akiongea 'ujinga ' anadhaniwa anatumia tigo (ah..no) anatumia masabiri kufikiria?

hili modes walishalitolea ufafanuzi humu, kuwa ni marufuku kutumia hilo jina kinyume na maana halisi. Ukiona linatumika visivyo ripoti hiyo mtu. Sadly hili halifanyiki
 
Hao TIGO acha tu waendelee kutukanwa coz siku hizi yaelekea huyo bosi wao anafikiria kwa TIGO kwani kila siku network ipo down!!
 
Kuna jamaa ambaye mkewe anauza vocha. Sasa usiku mmoja wakati anakula mzigo akatamani kumkameruni mkewe. Akamwomba tiGO. Mama kaja juu kama mbogo lakini baba akajitetea kuwa simu yake imeishiwa vocha so alitaka mkewe amwongezee. Mama hakutaka kuuliza usiku wote jamaa alitaka kumpigia nani akakwangua vocha jamaa akaingiza kwenye simu yake akampa pesa mkewe na kuendelea kula mzigo kama kawaida.
 
hahaaa
na ile ya zantel je!!!

TWANGA KOTEKOTE BABA LOL!:A S embarassed:
 
Kuna jamaa ambaye mkewe anauza vocha. Sasa usiku mmoja wakati anakula mzigo akatamani kumkameruni mkewe. Akamwomba tiGO. Mama kaja juu kama mbogo lakini baba akajitetea kuwa simu yake imeishiwa vocha so alitaka mkewe amwongezee. Mama hakutaka kuuliza usiku wote jamaa alitaka kumpigia nani akakwangua vocha jamaa akaingiza kwenye simu yake akampa pesa mkewe na kuendelea kula mzigo kama kawaida.

hahahahaaaaaaaaaaaaaa
Eeeeh
Nimecheka kweli..................watu jamani!
 
Mi nafikiri hao Tigo watafute sababu kwanini watu wameamua kuidhalilisha kampuni yao kiasi hicho, baada ya kufanya hivyo itakuwa njia ya kwanza kupima kama huduma zao zinachukuliwa vipi na jamii.

kuhusu kwamba kampuni hii ni kampuni tanzu ya kampuni ya nje ya nchi. Hapa pengine bussare inaweza kutumika.
Miaka kadhaa nilikuwa kafanya kazi katika eneo la vijijni, muda mfupi baadaye akaja dada mmarekani mwenye asili ya Vietnam. Jina lake Choo!, kwa Busara tulimsha uri aajitambulishe kwa jamiii kwa jina la la Chau na mambo yalienda vizuri.jambo la msingi ni kuhakikisha kuw abusara inatumika.
 
Kuna jamaa ambaye mkewe anauza vocha. Sasa usiku mmoja wakati anakula mzigo akatamani kumkameruni mkewe. Akamwomba tiGO. Mama kaja juu kama mbogo lakini baba akajitetea kuwa simu yake imeishiwa vocha so alitaka mkewe amwongezee. Mama hakutaka kuuliza usiku wote jamaa alitaka kumpigia nani akakwangua vocha jamaa akaingiza kwenye simu yake akampa pesa mkewe na kuendelea kula mzigo kama kawaida.

huyo mama atakuwa ukoo wa mangi tu. Lakini si unaona jinsi ilivyomuwia rahisi jamaa kuomba chezo?
 
Back
Top Bottom