Ni wakati sasa tigo mbadili jina

Mi nafikiri hao Tigo watafute sababu kwanini watu wameamua kuidhalilisha kampuni yao kiasi hicho, baada ya kufanya hivyo itakuwa njia ya kwanza kupima kama huduma zao zinachukuliwa vipi na jamii.

kuhusu kwamba kampuni hii ni kampuni tanzu ya kampuni ya nje ya nchi. Hapa pengine bussare inaweza kutumika.
Miaka kadhaa nilikuwa kafanya kazi katika eneo la vijijni, muda mfupi baadaye akaja dada mmarekani mwenye asili ya Vietnam. Jina lake Choo!, kwa Busara tulimsha uri aajitambulishe kwa jamiii kwa jina la la Chau na mambo yalienda vizuri.jambo la msingi ni kuhakikisha kuw abusara inatumika.

sababu wanaijua fika kuwa ni promotion zao ambazo ni shortsighted. Wao walidhani kudili na niche basi watangaze tu kuwa ni mtandao ulioenea zaidi pwani. Hapo ndo ikawa kosa.

Pia kwa kuwa tigo tz ni subsidiary ya a multinational company, wangefanya tu namna kuwashauri wakubwa wao ili angalau wabadili jina kidogo tu kwa Tanzania. Ila waangalie wasije tena wakaboronga kwenye promo zao kama hao jamaa wa 'twanga kotekote'
 
I used to prefer Tigo..i was so exciated when i used it for 1st time in 2007, bt now im realy fedup with it
 
Hakuna haja ya kubadili,maana hata mtu akisema HAMIA EATELI inaweza kuwa na maana nyingne!
 
Back
Top Bottom