Chumbageni
Member
- Oct 27, 2010
- 94
- 23
Nilishauri na nashauri tena tumeshakuwa koloni chini ya utawala wa ccm sasa kama tunataka kujiokoa kutoka katika makucha hayo adui wetu ni mmoja tu ambaye ni ccm ukishaipiga chini hapojuu patakuwa vizuri namaaniasha raisi makini na kwajinsi hiyo basi tutaweza kufufuka upya na kuanza kujikomboa kutoka kaburini. Nashauri tumuweke madarakani raisi wa upinzani na utaona mambo yatakavyokuwa japokuwa hatatutakuwa na maendeleo ya haraka maana tumeshafukiwa kwahiyo atakuwa na kazi yakututoa kaburini nakutufanya tuanze kuwa watu. Tanzania safari ni ndefu unless tuseme imetosha. Lakini kukodi waje kutusaidia hawa wachina na wengine siafiki maana mimi naona ninauwezo hata kuwashinda wao kinachotuuwa ni uswahiba, rushwa na sheria mbovu zetu. Mnatafuta mchawi wakati mnamuona?
Tru dat!