Ni wakati sasa kukopa viongozi kutoka ng'ambo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati sasa kukopa viongozi kutoka ng'ambo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jile79, Feb 17, 2011.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Kwa hali ilivyo sasa nathubutu kutoa ushauri duniani kote ii tuwe na utaratibu wa kama nchi ina raslimali lukuki km tz iweze kukopa viongozi wa ngazi za juu ili watusaidie kuendesha nchi, kubuni miradi,mikakati nba dira ya taifa.............naamini kiongozi ambaye tz ingeweza kumkopa kwa mfano kutoka CHINA basi angeweza kusimamia rasilimali za nchi bila woga wowote kwani angejua tumemwajiri na tunamlipa pesa za kutosha......Naamini kwa spirit ya mchina huu wizi wa wazi kabisa unaofanbywa na kiwete na wshirika wake basi ungekoma fasta....mfano mtu km Rostamu angekuwa alishapigwa risasi zamani tena hadharani kwa kuwa mbadhirifu wa mali a umma na kuiendesha serikali ya kikwetre kwa rimotkwa mfano hili lingewezekana basi baada tu ya ile miaka miwili ya kikwete tungekuwa tumeshakopa viongozi toka ng'ambo km rais, w/mkuu, mwanasheria isipokuwa tungebakiwa na spika sitta mzalendo basi...Mbona wakoloni pamoja na kutunyonya lakini walitujengea viwanda, barabara za kudumu muda mrefu, reli huduma za jamii za kuaminika,na mambo mengine mengi?
  NI KAMA HADITHI ZA KUSADIKIKA LAKINI HILI JMBO NATAFUTA PA KULISEMEA ILI DUNIA IWEZE KUTOA MAONI KUHUSU UWEZEKANO HUU
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kweli umefika mbali
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kweli ikiwezekana taasisi ya urais ipigwe mnada,au itangazwe gazetini. Mfumo wa ballot box ni sawa na baruti system,siasa zenye vilaza zinaipeleka tz kubaya. Amkeni. Ivi hatuwezi kufanya mpango Hosn Mubaraka au fidel castro akaja uhamishoni bongo?
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  nafikiria mengi sana jamani mwenzenu nimechoka mno!

   
 5. F

  Fahari omarsaid Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daa wazo zuri sana
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Usijipe stress za bure nchi hii imeshindikana
   
 7. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Najua unasema hivi kwakuwa Utawala uliopa hauko makini na usalama wa raia wake na na mali zao na hata umakini kwenye utawala bora, ninauhakika tupo hapa tulipo kwasababu ya uongozi/utawala dhaifu wa Serikali ya CCM, chini ya kiongozi dhaifu na legelege yaani JK.

  Naamini hata kwa uzembe na udhaifu huu wa Kikwete, huko huko ndani ya CCM wapo viongozi makini ambao wasingeweza kutufikisha Watanzania na Taifa letu kwa ujumla mahali tulipo sasa. Naamini wapo viongozi makini na mahiri ndani ya CCM ambao iwapo wangekuwa na nafasi ya Uraisi basi nchi isingekuwa hapa!!!!

  Serikali hii hii ililidanganya Taifa kipindi kile cha mabomu ya Mbagala ya kuwa tukio lile lilikuwa ni la-kwanza na la-mwisho je, sasa watawala wale wale watatuambia nini? Je, wataendelea kuja na mipasho ileile? na je, wataendelea kuwa hivi hadi "..the second coming of Jesus Christ, or they will STOP soon"?

  MTAZAMO WANGU ni kuwa kati ya watawala wenye RAHA na BAHATI duniani basi hawa watawala wa TANZANIA ndo wakwanza. Lakini, siku uvumilivu ukiwaisha watanzania it will be a day of sand and shovels......

  TWAKUOMBA BABA WA REHEMA USIKIE KILIO CHETU SISI RAIA WANYONGE WA TANZANIA NA AMBAO SASA TUNAISHI KWA HOFU, UNYONGE NA MASHAKA YA HALI YA JUU.
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  tatizo ni kuwa nchi imeshindikana na hakuna mwananchi kwa hiyo wote ni watembezi tu........nani atatusemea sasa?....nani ataibadilisha nchi iliyoshindikana km sio mwananchi?,,,,,sasa km nchi haina wananchi matokeo yake ndiyo haya tunaoyaona..........nchi itabadilika tu iwapo itapata wananchi?....mwananchi ni nani katika nchi?

   
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Kwa kua nabii hakubaliki kwao nadhani mfumo wa kubadilishana watawala ungefaa sana...siamini mtu makini km Ahmednejad wa Iran angeweza kuongoza hovyo hovyo km Rais Kikwete...yes...Kikwete anafaa kuwa waziri mkuu mathalan wa Saudia ama Mfalme kwa nchi zenye mifumo ya kitawala ya kifalme!
   
 10. D

  DOCTORMO Member

  #10
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja niwaambie maana mimi napinga uwekezeji wawageni wanaokuja kuwekeza hapo kwenye secta ambazo serikali inauwezo wakusupport watu wake.
  Kwamfano nashangaa kuona nchi zawenzetu zikisaidia wananchi wake tunaowaita wawekezeji kuja kuteka kiuchumi nchi zetu, je mnaita uwekezaji?
  Kuuza tv, mafriji, navitu vingine ni uwekezaji tunaoutaka?
  Tunahitaji uwekezaji katika mambo makubwa ambayo serikali haiyawezi kusaidia wawekezaji wazalendo, kama viwanda vya uundaji wa ndege meli, computer tukiwa na lengo la kuexport zaidi kuliko kuuzia ndani ya nchi.
  Lakini chan mwisho ni serikali kutuwezesha kimitaji kuweza kuingiza machine nakufanya production hivyo kuchangia uingizaji wa kipato na kutoa ajira kwa wananchi. Tutafika mbali kwa namnahii maana hatuna tofauti ya mchina na sisi, kama nikuagiza kila mtu anaweza kuagiza lakini wao wakija wanatuachina skills ganindiyo swali lakujiuliza.
  Na je sisi tukiwezeshwa kwenye mitaji na kuingiza mashine nyingi tutapata skills gani? Then tuchague moja.
  Nawasilisha
   
 11. D

  DOCTORMO Member

  #11
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini chan mwisho ni serikali kutuwezesha kimitaji kuweza kuingiza machine nakufanya production hivyo kuchangia uingizaji wa kipato na kutoa ajira kwa wananchi. Tutafika mbali kwa namnahii maana hatuna tofauti ya mchina na sisi, kama nikuagiza kila mtu anaweza kuagiza lakini wao wakija wanatuachina skills ganindiyo swali lakujiuliza.
  Na je sisi tukiwezeshwa kwenye mitaji na kuingiza mashine nyingi tutapata skills gani? Then tuchague moja.
  Nawasilisha
   
 12. D

  DOCTORMO Member

  #12
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wengi sana wanasema kwasasa tanzania inaporomoka kurudi nyuma wanauliza kunamatatizo gani? Kwakweli hali ni pevu
   
 13. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kweli hata mimi naona bora tu binafisishwe uongozi wa inchi, serious .make sioni tumaini mbele ya safari
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Hatuzungumzii uwekezaji tunazungumzia kuwa na viongozi wenye vision ikiwemo uwekezaji utakaokuwa na tija kwa watz wa ngazi zote.......namaanisha viongozi wanaoweza kuchukia rushwa kwa vitendo sio km akina kikwete wanaoweza kuwadanganya watz kuwa wanaorodha ya wala rushwa lakini asiwataje wala kuwachukulia hatua...........tunalaani k\viongozi wetu kuwa dhaifu kiasi cha kucshindwa kuchukua hatua kwa mambo ambayo ni serious...........kwa mfano kiongozi wa nchi km china au marekani hawezi kuwatangazia wananchi kuwa anawajua wala rushwa na siseme amewafanya nini haiwezi kutokea...zaidi atatangaza amefanya nini na wala rushwa, huwezi kumsikia waziri mkuu wa china au uingereza akisema kuna baadfhi ya watu tukiwapeleka mahakamani nchi itayumba lakini hapa kwetu pinda ana uhuru wa kusema hayo.........mbona tunaomba misaada mingi tu sasa hiyo misaada tunapata ya nini km tunaviongozi wabovu hivi............kwa nini tusipatiwe misaada ya marais, mawaziri wa wizara nyeti, waziri mkuu, wakuu wa mikoa, usalama wa taifa na wakurugenzi?......kwa nini km hatuwezi kupatiwa km msaada basi tusikope kutoka huko ng'ambo?.,...........
  Chukulia mfano tumeamua kumwajiri bill clinton na viongozi wengine wastaaf kutoka japan,china,uingereza hawa hawatatuibia isipokuwa watatuletea jipya na watahakikisha raslimali zinanufaisha taifa na watu wake.........ni tz ambapo viongozi wanaweza kusema hawaijui kagoda wkt wanajua account amabzo pesa ziliingizwa na kutawanywa...ni hapa kwetu tu ambapo taasisi nyeti km takukyurui inaweza kulidanganywa taifa kuwa richmond haikluwa kampuni feki na kiongozi km edawrad hosea akaendelea kupeta kiasi hiki

   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Unamaanisha unamfaa umwinyi sio....nimekupata lakini sio kuwa rais wa nchi km tz ambayo yeye anamarafiki ambao urafikiwa na hao haukuanzia barabarani km wanavyojigamba kwa mbwembwe>!

   
 16. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Ni Wazo zuri hata makampuni makubwa yana kitu kinachoitwa "STAFF EXCHANGE PROGRAMS", tatizo tutabadilishanan watu wa ngazi zipi - ni watendaji kwa maana ya makatibu wakuu na wataalamu wengine au ni viongozi wa kisiasa kwa maana ya mawaziri, wabunge, wakuu wa mikoa na wilaya?

  Ukiazima watendaji bado maamuzi yao yataingiliwa na wanasiasa na mambo hayataenda.

  Ukiazima wanasiasa watakuwa hawana utashi wa wananchi hivyo maamuzi yao hayatakubalika mbele ya wananchi na mambo hayataenda.

  Mimi nadhani kati ya vichwa million zaidi ya 40 kusema vyote ni magharasha si kweli. Tujenge mfumo ambao utawaibua Watanzania wenye uwezo na uzalendo kuongoza shughuli za kiuchumu hapa Tanzania.
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa utakuwa uamuzi wa wananchi basi tutapiga marufuku kwa mwanasiasa kuingilia mambo ya kitaalamu km akina lowasa walivyofanya........kwa kuwa tayari tutakuwa na sheria amabyo itatuognoza kwa miaka kumi ya mageuzi ya kiuongozi basi hakuna atakayeleta utani tena kwa mambo ya msingi ya nchi........na akayekiuka ni kufuata tu sheria za china za kunyonga wanaohujumu nchi
  wakati tunajiandaa basi tungekodisha kwanza rais, w/mkuu, spika aliyepo sasa, usalama wa taifa waliepushe taifa na balaa...........tulipofikia panaitwa "kunguru hafugiki"........

   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Yaani tunakwenda hatua nne nyuma na kwenda hatua moja mbele na kujpongeza..........

   
 19. D

  DOCTORMO Member

  #19
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilishauri na nashauri tena tumeshakuwa koloni chini ya utawala wa ccm sasa kama tunataka kujiokoa kutoka katika makucha hayo adui wetu ni mmoja tu ambaye ni ccm ukishaipiga chini hapojuu patakuwa vizuri namaaniasha raisi makini na kwajinsi hiyo basi tutaweza kufufuka upya na kuanza kujikomboa kutoka kaburini. Nashauri tumuweke madarakani raisi wa upinzani na utaona mambo yatakavyokuwa japokuwa hatatutakuwa na maendeleo ya haraka maana tumeshafukiwa kwahiyo atakuwa na kazi yakututoa kaburini nakutufanya tuanze kuwa watu. Tanzania safari ni ndefu unless tuseme imetosha. Lakini kukodi waje kutusaidia hawa wachina na wengine siafiki maana mimi naona ninauwezo hata kuwashinda wao kinachotuuwa ni uswahiba, rushwa na sheria mbovu zetu. Mnatafuta mchawi wakati mnamuona?
   
 20. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ila cjui kama inawezekana na ingekuwa inawezekana nalo ni wazo zuri saaaaaaana!!!!
   
Loading...