Ni wakati Mwafaka wa KU Edit profile Zetu.

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Kama kawaida sisi wengine hatunaga maneno mengiiiii kazi yetu kufikisha ujumbe.Kila mmoja leo anatakiwa a edit profile yake ili iweze kuonyesha jinsia yake na umri wake.Nasema tufanye hivi ili kuepuka kutuma PM kwa mtu asiye husika.Siku ya leo ilibaki kidogo ni tume PM kwa mmama .Jamani tu edit profile zetu ili kuzuia kuchanganyana.kiasi hiki .ni hayo tu.
 
Aiseeee tuma kwa wote lakini siku ukituma kwa akananas wangu Paloma na Passion Lady ni kakukamata utasahaulika hapa jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Sayansikimu najitahid kuchora picha wewe ni mwanaume wa aina gan
Unalalamika sana , Mara bikira, Mara hujui mapenzi, Mara rep power
Unajua hizi ndizo tAbia ambazo zinakufanya ukose mke
Badilika bhana
 
hahahaaa yangu macho.
 
Sayansikimu najitahid kuchora picha wewe ni mwanaume wa aina gan
Unalalamika sana , Mara bikira, Mara hujui mapenzi, Mara rep power
Unajua hizi ndizo tAbia ambazo zinakufanya ukose mke
Badilika bhana

Hapa mimi sijalalamika bali nilikuwa nataka kufikisha ujumbe.Kila nacho sema mnasema nalalamika sasa hapa nimelalamika wapi.Hebu acheni kuninyanyasa kwa kunisingizia na lalamika sana.
 
Hahahahaa
 
jana kwa malalamishi.....!sasa huyo mmama hatumiwi pm na kusalimiwa....?
 
Sayansikimu najitahid kuchora picha wewe ni mwanaume wa aina gan
Unalalamika sana , Mara bikira, Mara hujui mapenzi, Mara rep power
Unajua hizi ndizo tAbia ambazo zinakufanya ukose mke
Badilika bhana
aiseeeeeeeee
 
Mandishi, pm iko locked uktuma sitoiona so bora uache tu.

ladyfurahia PM kwake ndo ipo LOCKED na hata ukiingia profile yake icons ya SENDMESSAGE haionekani.Lakini kwenye profile yako naona icons ya SENDMESSAGE kwenye profile yako.AU NIJARIBU KUKUTUMIA UONE KAMA ITAINGIA AU HAITAINGIA lakini baada ya kukutumia hii PM naomba usi ni report abuse
 
Last edited by a moderator:
Hapa mimi sijalalamika bali nilikuwa nataka kufikisha ujumbe.Kila nacho sema mnasema nalalamika sasa hapa nimelalamika wapi.Hebu acheni kuninyanyasa kwa kunisingizia na lalamika sana.

unaaibisha wanaume bhana daaa

kama unataka kutongoza tongoza mtaani huku utatongza wanaume wenzio nakuambia chezea jf tu
 
ladyfurahia PM kwake ndo ipo LOCKED na hata ukiingia profile yake icons ya SENDMESSAGE haionekani.Lakini kwenye profile yako naona icons ya SENDMESSAGE kwenye profile yako.AU NIJARIBU KUKUTUMIA UONE KAMA ITAINGIA AU HAITAINGIA lakini baada ya kukutumia hii PM naomba usi ni report abuse

hahahaa haya bana. Kumbe umekagua umu ndan ukajua pm moja tu ndo huiwez.
 
Last edited by a moderator:
unaaibisha wanaume bhana daaa

kama unataka kutongoza tongoza mtaani huku utatongza wanaume wenzio nakuambia chezea jf tu

Hapana mimi nipo makini huwa nafanya Data Base investigation kabla ya kutuma PM siwezi kukurupuka ku PM mtu bila Kufanya Data BASE Investigation .MTAANI NIMEHANGAIKA BILA MAFANIKIO MAANA NIMEKOSA MWENYE SIFA NAZO HITAJI.
 
Back
Top Bottom