Mzima wewe?Nabii Elia alipaa moja moja hakufa
Kufa ni mchakato,ambao kabla roho haijatoka na kwenda Kuzimu kama ulivyosema ndo unakuwa umekamilika!Kufa ninini?
Hahahaha naangalia hizi comedy zilizotupita wikend, maana tumezoea sasa. New episode kila wiki ikiwa na waigizaji wapyaHongera
. Lakini hakuna maumivu makali kama pale roho inapotaka kujitenga na mwili... Ni tendo moja gumu sana.. Na unayaona wazi mahangaiko ya mfu mtarajiwa....
Wapi hasa panapouma? Unatutish buana.... mtu akifa ni kama amelala usingizi hakuna maumivu. Nini kinakuhakikishia kuna maumivu. Tofa
Hapana mchakato wa kufa hauna mwisho... Hivyo hauwezi kuwa kamili I mean kukamilika...Kufa ni mchakato,ambao kabla roho haijatoka na kwenda Kuzimu kama ulivyosema ndo unakuwa umekamilika!
Haya una uhakika gani na kitu ambacho hujawahi kuki experience hasa kushuka kwa roho kuzimu?
Hapo kwenye... Though am still young... Panajibu hoja zako... Jipe muda kuna mengi bado huyajuiTatizo hakuna mtu aliewah kufa halaf akarud kuleta feedback, ukiachilia mbali misukule ,misukule ni mazingaobwe ni ,mwili wa mtu huchukuliwa na kubadilishwa mnyama mfu ,but mda ukifika hata misukule mwenyew hufa,though am young but nilipata chance yakukaa mortuary sikuona kitu chochote ,kuhus mait kukataa kuvaa au kusafirishwa pia ni mazingaobwe