ni vp ntakausha mti!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
jama nahitaji kujua ni ipi njia naweza kukausha mti pasipo kuukata au kuutoa magamba yake?
 
Njia nnayojua mimi ni kukata magamba.
labda uchimbe chini na kukata mizizi.
Ila strange, niliona ushaghoo mti unatoa matunda yenye maji sana na yanaoza kabla ya kukomaa. Ukagongelewa misumari mingi. Ukapona na matunda yakawa bab kubwa
 
au kukata ndo sjui vikonyo vile. Zile part za mti zinazochomoza unazikata ina maana mti uta stack hautaendelea kukua. Then mti bila majani= kukauka
 
umeeleweka sana mkuu:focus:
 

Kama njia yenyewe ndio hii,basi Sulfur haifai mkuu.
 
Anyway,kwa kuwa unahitaji jawabu nahisi wataalamu wa miti watakuja. Ila sijakuelewa mkuu,kwani ukishakuka si utaktwa?
Na vipi urahisi wa kukata mti mbichi na mkavu? Angalia ndugu tusijekuwa tunakushauri mbinu za kukausha mti wa jirani yako,huh! Anyway,just kidding!
 
Ili mti ufe lazima sumu au kemikali ya kuleta madhara iingizwe kwenye system ya ulishaji wa mti husika.
Sumu ziko nyingi ila njia za kuingiza ni limited kiasi.

Kuna kukata sehemu ya mti husika na kuweka sumu, kuna kuchimba karibu na mizizi na kuweka sumu, kuna kucoma sindano, kuna kupulizia sumu kwenye majani n.k.

Chagua njia inayokufaa.

Sumu nzuri sana ni zile za kuuwa magugu.
 
njia ya sulpher ina madhara sanaaaa....

 
Kama una laki ni pm mimi fundi,kwenye bible yesu aliutazama mti akaulaani mimi ninaugusa unakauka nishafanya sana kwenye miarobaini,miembe inayoota pembezoni mwa nyumba
 
Kama una laki ni pm mimi fundi,kwenye bible yesu aliutazama mti akaulaani mimi ninaugusa unakauka nishafanya sana kwenye miarobaini,miembe inayoota pembezoni mwa nyumba

Inaonekana wewe hukupewa bure ulinunua Aliyepewa bure hutoa bure you are a lier mara ya mwisho kwenda Nigeria lini

Halafu huyo jamaa naye anataka kukausha mti wa jirani yake au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…