Ni vitu gani hivi?

Ni vitu gani hivi?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,287
Reaction score
13,725
Jamani Gari huwa naicha sehemu wakati wa asubuhi jioni huwa naipitia ikiwa imeoshwa sasa Jana baada ya kufika nyumbani nimekuta kuna hivi vitu kwenye gari kinaweza kuwa nini??

CC657C8E-D53E-40DF-BDA0-2B82422D3693.jpeg
 
Hapo ni wanakukumbusha ukae kiume....si unakuwa mlainimlaini kama mademu wa insta.

Na ukitukana nawaambia kesho waweke nyoka alovaa shanga........mwanaume unakuaje na mikono ya hivyo?
ww ni mbeba zege or umekulima maisha ya shamba, ila kwa watoto wa kishua/maisha ya kati mikono ya hvyo ni ya kawaida
 
Mbona mimi wa kishua ila sina mikono ya hivyo!?
me siyo wa kishua ila mikono yangu inafanana kidogo na hyo pamoja na kufanya kazi ngumu, sa vp kwa jamaa ikiwa kazi yake ngumu n kifinyanga tonge la ugali unazan atakuwa na mikono ya namna gan
 
Back
Top Bottom