Ni vitu gani hivi?

Ni vitu gani hivi?

me siyo wa kishua ila mikono yangu inafanana kidogo na hyo pamoja na kufanya kazi ngumu, sa vp kwa jamaa ikiwa kazi yake ngumu n kifinyanga tonge la ugali unazan atakuwa na mikono ya namna gan
Ngoja tumuache. Haya,na wewe mpe jibu....vile ni vitu gani.
 
Hapo ni wanakukumbusha ukae kiume....si unakuwa mlainimlaini kama mademu wa insta.

Na ukitukana nawaambia kesho waweke nyoka alovaa shanga........mwanaume unakuaje na mikono ya hivyo?
Mkuu mi natumia peni na Computer ili nile😀😀😀
 
Ngoja tumuache. Haya,na wewe mpe jibu....vile ni vitu gani.
1. Kuna aina Fulani ya urembo hutengenezwa kwa kutumia karatasi
2.VIKOLOMBWEZO UMPE MTU GARI ( vifurushi vya kwa mtwaalam)
Kama Ni hiyo no2 usipate tabu njoo PM NIKUPE MAELEKEZO YA BUREEE KU DESTROY HAYO MAKITU
 
Back
Top Bottom