Ni vita, Rage amvaa Mnyika

Hakika Mnyika akinyamaza kwa hali hii mawe lazima yatapiga kelele tu, rege anatumia nyongo kufikiri badala yakutumia bongo kufikiri na hii ndio athari yake mnayoiona
 
Mnapoteza muda na huyo prison break??
Then inaonyesha kuwa ninyi ni vichwa sana kwa kuweza ku connect dots, compare na hatimaye kumuelewa na kujibu/kuchangia kauli zake.
 
Duh! hujui? alighushi stakabadhi ya malipo ya sh. milioni mbili akahukumiwa miaka miwili jela akatoka kwa msamaha wa Rais(Kikwete) baada ya kutumikia mwaka mmoja hivyo iaonekana bado ana hangover ya segerea


Mkuu tuweke record sawa. yote uliyosema ni sahihi na ni kweli alitoka kwa msamah wa rais akiwa amebakisha kipindi kifupi cha kumaliza kifungo chake. Pia mkuu kumbuka kwamba Rage alikuwa amekata rufaa mahakama kuu. usikilizwaji wa rufaa yake ulicheleweshwa na hukumu ikaja kutoka akiwa tayari yuko nje na kuonekana kwamba alishinda rufaa yake. Pamoja na kwamba alisota segerea lakini kisheria ni kwamba Rage hakufungwa na ndio maana akagombea Ubunge. kwa maana nyingine alitakaswa dhidi ya tuhuma za wizi kwa njia ya kughushi stakabadhi! Simjui Rage zaidi ya kujua tu kwamba ni mwenyekiti wa club yangu na tuna mpango wa kumfukuza uenyekiti. Nilikuwa tu nataka kuweka record sawa humu ndani
 

Mkuu hiyo heading yako inakosa mshiko kidogo,maana kusema ni vita kati ya Rage na Mnyika sidhani kama uwezo wa Rage kiakili unaweza kufananisha na Mnyika....kwa kila kitu,michango bungeni,hotuba na kuwajenga watanzania kifikra,Rage yupo mbali sana huyu msomali....nadhani akashindane na watu wengine na sio Mnyika kwenye hoja....kama tunakubaliana kuwa ni vita,basi ni kama kusema vita kati ya Somalia na NATO halafu utegemee kuwa Somalia watashinda.........
 

...niweke kumbukumbu sawa,enzi zile-za usafiri wa treni ukieleweka,ilikuwa gari moshi likikaribia Tabora kulikuwa kunatolewa tangozo la kuwataadhalisha abiria wajiadhari na wezi.Kwa-mantiki hii "Myika jiadhali na huyu kibaka"...
 
Naipenda sana ccm kwa sababu ni wachapakazi kuliko wapinzani wanaongea wee hakuna matendo! Kila siku majungu lakini hakuna lolote kwenye majimbo wanayoongoza! Yani kila kitu wao kupinga tuuuuuuu!
kwa lipi mkuu... Au ndo umeshaianza xmas kwa kasi, nguvu pia Hari mpya??? Drink responsibly
 

Save some energy mkuu.
Naona unatumia nguvu na akili nyingi kutaka kuufungua huo mlango....upo wazi huo unafunguka hata kwa upepo..
 
Hivi ruge ana mke au mme,
maana kuna fununu huku mtaani sizielewi vizuri, wanadai alipokua jela wali mkamerun sasa anaendelea ivo,
sio umbea jaman ni vijimambo nimevipata hapa mtaani nkiwa saloon.
 

Mkuu hapo kwenye red naomba kujulishwa ni lini,nita-finance hicho kikao...kwa kila kitu posho,usafiri na chakula cha mchana cha kikao hicho cha kumng'oa huyu jamaa...na sijui Simba mlitumia vigezo gani kumpa huyu jamaa uenyekiti wa club makini kama yenu...mimi ni mdau wa Yanga lakini kwa hili nakuunga mkono mkuu...
 
Hivi ruge ana mke au mme,
maana kuna fununu huku mtaani sizielewi vizuri, wanadai alipokua jela wali mkamerun sasa anaendelea ivo,
sio umbea jaman ni vijimambo nimevipata hapa mtaani nkiwa saloon.

Habari za Jela ebu muulize Lema, atakupa ukweli wote!
 
Habari za Jela ebu muulize Lema, atakupa ukweli wote!

Lema hakukaa jela, alikua 'selo' tu, so hajui vema ndugu.
Kama wajua weka hadharan maana naona umeguswa sana
 
Nasikia Rage alikuwa anapakuliwa Na nyapala huko jela.
 
Rage huna ubavu wa kujibu au kutolea maelezo hoja za Mnyika coz uwezo wako ni mdogo saana wa kufikiri na kutenda, Rais kuteua Mwenyekiti wa tume wa ovyo huoni ni kero kwa wananchi, kutokana na akili yako ndogo unafikiri kero ya wananchi ni maji na barabara 2?
 
Nasikia Rage alikuwa anapakuliwa Na nyapala huko jela.

sijakupata vizuri, alikua anapakuliwa nini na huyo nyapala ? Ugali au mboga?
Mana nasikia mchuzi debe harage moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…