Ni Vigumu sana kugombea kupitia nje ya CCM ukapata ushindi maeneo haya ...

Inabidi sasa tuuseme ukweli huu,

Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe,

Lakin Tuwe wawazi muda huu kama una mpango wa kugombea ubunge maeneo yafuatayo
1.Mwanza
2.Geita
3.Kagera
4.Dodoma
5.Shinyanga
6.Dar es salaam
7.Arusha mjini
8. Mtwara
9.Lindi
10. Pwani

Bora ukapitia CCM, maana maeneo hayo kwa haraka hawana mwamko wa masuala ya upinzani, na pale ilipotokea wakawapa wapinzani ni kwa sababu ya mtafaruku ndani ya chama tawala,

Mpaka sasa hata hao wabunge wa Upinzani hawana uhakika na nafasi zao
1.Kawe
2.Hai
3.Arusha mjini
4.Bukoba mjini
5. Iringa
6. Mbeya mjini
7. Ubungo
8. Kibamba

Hawa nawahakikishia hawatarudi bungeni, labda wahamie CCM itasaidia

By force majimbo hayo yatarudi CCM,

Tukutane 2020 November

Note that kwa maelezo maalumu wagombea watateuliwa ,yaan wanapita wale wa namna tutakayo
Ni sawa tu lakini ni bora kufa kishujaaa
 
Mantik ya ulichokiandika siioni ,uchaguz wa nchi nzima co sawa na uchaguzi wa marudio,najua unajua kuwa hata hizo chaguzi za marudio zenyewe kuna majimbo mfano buyungu mnajua kbs km dogo janja alishinda mkamchakachua na policeccm
 
Hamna kitu kinachoitwa force maana kama ingekuwepo hata hao wasingepata huo ushindi hivyo acha kupotosha umma. Mtu anaekubalika atapigiwa kura na kura zikitosha atashinda. Kuhusu kurudi CCM kila mmoja anakaribishwa maana nyumbani ni nyumbani ila sio kwamba ukifika tu CCM unapata uongozi, hapana! Bali kama una sifa na unastahili.

Wasalaam
#DG
Kama unafikir uchaguzi ni wa haki cku zote. Think again.
tume hii rais akiamua itangaze matoke yoyote itatangaza.. kura is just a hoax..
Ameteua tume so yuko in control...

Kuna nguv kubwa sana inatumika kupitisha chama fulani. Sometimes kwa kutumia vyombo vya dola.
Ishu sio kukubalika.. but who is in control
 
Kwa utawala wa jiwe naunga mkono hoja,Jiwe ni mbabe asiye na mshipa wa aibu haijawahi kutokea.
 
Hamna kitu kinachoitwa force maana kama ingekuwepo hata hao wasingepata huo ushindi hivyo acha kupotosha umma. Mtu anaekubalika atapigiwa kura na kura zikitosha atashinda. Kuhusu kurudi CCM kila mmoja anakaribishwa maana nyumbani ni nyumbani ila sio kwamba ukifika tu CCM unapata uongozi, hapana! Bali kama una sifa na unastahili.

Wasalaam
#DG
Sijawahi tukana humu ujue
Tumia ata akili kidonchi basi
 
The only thing Ccm tunajua ni kushinda uchaguzi, piga, garagaza, iba, lakini maendeleo aaah mtajijua wenyewe, as long tunakula baada ya nyie kutupa kura.
 
Mwaka 2015 na kumi natano CCM walikuwa wamesha piga kula wameweka kwenye mabokisi Labda ya Ziwa yote upinzani walishinda ila CCM waliandaa goli LA Mkono Labda huko kwa pwani Lindi ndio vigumu ila kukiwa true and fair election CCM hawanachao labda ya Ziwa shinyanga ,Mwanza Geita ,
 
chaguzi za marudio ni rahisi kwa CCM kushinda kwa msaada wa polisi, uchaguzi mkuu ni nchi nzima!! hakuna polisi wa kutosha kufanya wizi majimbo yote, hapo ni mkurugenzi tangaza matokeo tofauti umati ukuchune ngozi "laivu"
Mbona uchaguzi mkuu mliangukia Pua
 
Awamu hii wamejitahidi kuifanya siasa isitawale midomoni mwa waliowengi, ni mwendo wa matukio tu ambayo hayana maslahi ya kitaifa, ukweli ni huo mwamko ni mdogo kwa maeneo mengi.
 
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu,

Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe,

Lakin Tuwe wawazi muda huu kama una mpango wa kugombea ubunge maeneo yafuatayo
1.Mwanza
2.Geita
3.Kagera
4.Dodoma
5.Shinyanga
6.Dar es salaam
7.Arusha mjini
8. Mtwara
9.Lindi
10. Pwani

Bora ukapitia CCM, maana maeneo hayo kwa haraka hawana mwamko wa masuala ya upinzani, na pale ilipotokea wakawapa wapinzani ni kwa sababu ya mtafaruku ndani ya chama tawala,

Mpaka sasa hata hao wabunge wa Upinzani hawana uhakika na nafasi zao
1.Kawe
2.Hai
3.Arusha mjini
4.Bukoba mjini
5. Iringa
6. Mbeya mjini
7. Ubungo
8. Kibamba

Hawa nawahakikishia hawatarudi bungeni, labda wahamie CCM itasaidia

By force majimbo hayo yatarudi CCM,

Tukutane 2020 November

Note that kwa maelezo maalumu wagombea watateuliwa ,yaan wanapita wale wa namna tutakayo
mkuu vip ulifika Thai salama? ulikutana na sawadikaa. ukiweza fanya ziara mikoa ya pataya na punket. huko ni kama copa gabana Brazili. watoto wazur ila malaya sana na mapunga mengi sana.huko kunakuwaga na maeneo ya mashindano ya kugongana. usiache kutembelea soukomvit ukale fufu zaga zaga ugali wa mapopo.
 
Na sasa nipo muda huu ni saa 11 usiku tunapishana six hours na east Africa zone
 
Back
Top Bottom