Ni Vigumu sana kugombea kupitia nje ya CCM ukapata ushindi maeneo haya ...

Naijua siasa kwa sababu mimi mwenyewe najihusisha na siasa, tukitazama kwa ujumla mwamko umekuwa mkubwa watu wameianza kuiamini serikali yao, kipindi cha kikwete hali ilikuwa tete kidogo ndio maana mambo yalienda kama hivyo unavyosema. Ila sasa things done change mwamko umekuwa mkubwa na upinzani unayumba hivyo CCM kushinda ni wananchi wameamua.

#DG
Mkuu wewe n punga.
 
Kati ya mambo mawili, mojawapo litatokea.

Wananchi wakikubali maelekezo ya Tume ya CCM, wapinzani wanaweza kukaribia kukosa majimbo yote.

Wananchi wakisema 'liwalo na liwe, kura zetu haziwezi kuchezewa', CCM itapoteza majimbo mengi sana kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea.

Hakuna utawala uliowahi kuchukiwa kwa kiwango kikubwa kama huu wa awamu ya 5. Wapinzani wanaongea lakini wanaCCM wengi hawaongei japo wameuchukia sana. Leo nilikuwa na makada waaminifu wa CCM, waliopigania kufa kupona kuhakikisha JPM mwaka 2015, anashinda, waliyokuwa wakiongea siwezi hata kuyaweka hapa. Inaonesha ni chuki iliyovuka kiwango cha uvumilivu.

Ukiwasikiliza wanaCCM wengi, utagundua huenda wanaomchukia zaidi ni wanaCCM kuliko hata wapinzani. Na sijui kama yeye analifahamu hilo!!
 
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu,

Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe,

Lakin Tuwe wawazi muda huu kama una mpango wa kugombea ubunge maeneo yafuatayo
1.Mwanza
2.Geita
3.Kagera
4.Dodoma
5.Shinyanga
6.Dar es salaam
7.Arusha mjini
8. Mtwara
9.Lindi
10. Pwani

Bora ukapitia CCM, maana maeneo hayo kwa haraka hawana mwamko wa masuala ya upinzani, na pale ilipotokea wakawapa wapinzani ni kwa sababu ya mtafaruku ndani ya chama tawala,

Mpaka sasa hata hao wabunge wa Upinzani hawana uhakika na nafasi zao
1.Kawe
2.Hai
3.Arusha mjini
4.Bukoba mjini
5. Iringa
6. Mbeya mjini
7. Ubungo
8. Kibamba

Hawa nawahakikishia hawatarudi bungeni, labda wahamie CCM itasaidia

By force majimbo hayo yatarudi CCM,

Tukutane 2020 November

Note that kwa maelezo maalumu wagombea watateuliwa ,yaan wanapita wale wa namna tutakayo
Pole sana mkuu una ndoto nzuri za usiku wa manane. Kama mnategemea watu kususa uchaguzi siyo 2020. Mtu wako kajidhihirisha ugonjwa alionao.
 
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu,

Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe,

Lakin Tuwe wawazi muda huu kama una mpango wa kugombea ubunge maeneo yafuatayo
1.Mwanza
2.Geita
3.Kagera
4.Dodoma
5.Shinyanga
6.Dar es salaam
7.Arusha mjini
8. Mtwara
9.Lindi
10. Pwani

Bora ukapitia CCM, maana maeneo hayo kwa haraka hawana mwamko wa masuala ya upinzani, na pale ilipotokea wakawapa wapinzani ni kwa sababu ya mtafaruku ndani ya chama tawala,

Mpaka sasa hata hao wabunge wa Upinzani hawana uhakika na nafasi zao
1.Kawe
2.Hai
3.Arusha mjini
4.Bukoba mjini
5. Iringa
6. Mbeya mjini
7. Ubungo
8. Kibamba

Hawa nawahakikishia hawatarudi bungeni, labda wahamie CCM itasaidia

By force majimbo hayo yatarudi CCM,

Tukutane 2020 November

Note that kwa maelezo maalumu wagombea watateuliwa ,yaan wanapita wale wa namna tutakayo
Unazungumzia uchaguzi ulio huru au wa kuiba kura na polisi ccm kupiga watu. Unajua kabisa kuwa uchaguzi ikiwa huru na haki hakuna mwananccm atakaechaguliwa.
 
Election
FB_IMG_15373877096842449.jpeg
 
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu,

Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe,

Lakin Tuwe wawazi muda huu kama una mpango wa kugombea ubunge maeneo yafuatayo
1.Mwanza
2.Geita
3.Kagera
4.Dodoma
5.Shinyanga
6.Dar es salaam
7.Arusha mjini
8. Mtwara
9.Lindi
10. Pwani

Bora ukapitia CCM, maana maeneo hayo kwa haraka hawana mwamko wa masuala ya upinzani, na pale ilipotokea wakawapa wapinzani ni kwa sababu ya mtafaruku ndani ya chama tawala,

Mpaka sasa hata hao wabunge wa Upinzani hawana uhakika na nafasi zao
1.Kawe
2.Hai
3.Arusha mjini
4.Bukoba mjini
5. Iringa
6. Mbeya mjini
7. Ubungo
8. Kibamba

Hawa nawahakikishia hawatarudi bungeni, labda wahamie CCM itasaidia

By force majimbo hayo yatarudi CCM,

Tukutane 2020 November

Note that kwa maelezo maalumu wagombea watateuliwa ,yaan wanapita wale wa namna tutakayo
kaka unafaa kuwa mganga wa kienyeji, mana ramli yako imepita mule mule.
 
Kazi kubwa ya Magufuli imewabeba wengi, kuanzia kwenye kutia nia ule mwamko haukuwa kitoto. Pili kwenye selection kamati ilikuwa very keen, wamepoteza kwa ally kessy.
 
Wenzenu wamefanya kampeni kwa miaka mitano wakizunguuka nchi nzima wakati nyie hata vikao vya ndani ilikuwa mshike mshike. TBC imewafanyia kampeni kwa miaka mitano na nyie mmefanya barely miezi miwili tu kwa mmbinde. Ukiweka na mtandao wa CCM kuanzia ikulu mpaka chini kwa mjumbe wa nyumba kumi, you can't beat this network. Upinzani hauna network hii, mizizi ya CCM imejikita kila kona. Kilichotokea ni democrasia at its worst form. Ushindi kwa Magu, huo ulikupo tu tusijidanganye hapa. Ila muanguko wa wabunge wa upinzani haukutegemewa kiasi hicho.
Kwa sisi wapenda amani, tafadhalini tunakuombeni mtuache na amani yetu tuliyo izoea na tuliyo kua nayo. Ma-vyama yenu sisi wangine wala hatuna mpango nayo kivile. We care about bread and butter issues.
 
Back
Top Bottom