Ni Vigumu sana kugombea kupitia nje ya CCM ukapata ushindi maeneo haya ...

yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,235
2,000
Inabidi sasa tuuseme ukweli huu,

Kipindi kilichopita CHADEMA ilishaanza kushamiri sana maeneo mengi nchini, kuanzia Arusha, Dar es salaam ,Mbeya ,Bukoba mjini na Karagwe,

Lakin Tuwe wawazi muda huu kama una mpango wa kugombea ubunge maeneo yafuatayo
1.Mwanza
2.Geita
3.Kagera
4.Dodoma
5.Shinyanga
6.Dar es salaam
7.Arusha mjini
8. Mtwara
9.Lindi
10. Pwani

Bora ukapitia CCM, maana maeneo hayo kwa haraka hawana mwamko wa masuala ya upinzani, na pale ilipotokea wakawapa wapinzani ni kwa sababu ya mtafaruku ndani ya chama tawala,

Mpaka sasa hata hao wabunge wa Upinzani hawana uhakika na nafasi zao
1.Kawe
2.Hai
3.Arusha mjini
4.Bukoba mjini
5. Iringa
6. Mbeya mjini
7. Ubungo
8. Kibamba

Hawa nawahakikishia hawatarudi bungeni, labda wahamie CCM itasaidia

By force majimbo hayo yatarudi CCM,

Tukutane 2020 November

Note that kwa maelezo maalumu wagombea watateuliwa ,yaan wanapita wale wa namna tutakayo
Sasa wewe unafikiri itawezekanaje ikiwa taifa limejaa wajinga kila Kona?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom