Ni vigumu kuwashinda Mbowe na Dr.Slaa CHADEMA

haa haa kama ndani ya ccm huruhusiwi kumpinga mwenyekiti wakati wa uchaguzi, ndani ya ccm mwenyekiti anapambanishwa na kivuli, ili wanaccm wapige kura ya hapana ama ndiyo, ikiwa na maana moja, ndiyo huyo mwenyekiti au hapana mwingine.

Kile ni cha mapinduzi Na hiki ni cha demokrasia.
 
Kufahamika na kukua kwa CHADEMA kumechagizwa na upepo tu
Si ndani wala nje ya CHADEMA kwenye kiongozi wa kisiasa ambaye anaweza kugombea na kuwashinda Ndugu Freeman A.Mbowe na Dr.Wilbrod P.Slaa kwa nafasi ambazo viongozi hao watagombea ndani ya CHADEMA. Viongozi hao wa CHADEMA wa kitaifa (Mwenyekiti na Katibu Mkuu) wanabebwa na rekodi zao. CHADEMA waliyoipokea toka kwa Hayati Bob Makani na Walid Aman Kaborou si hii ya sasa.

CHADEMA imekua;imesambaa na kujiimarisha vya kutosha. Hata wapinzani wa CHADEMA wanajua kwa dhati kuwa Mbowe na Dr.Slaa wanatengeneza safi kali ya mapambano na ushambuliaji ya kisiasa kwa ukuaji wa demokrasia ya nchi hii.Ndiyo maana hawaishi kutajwa midomoni na walio na wasio wa CHADEMA. Hawa ndio nguzo ya CHADEMA. Wana sifa zinazohitajika kwa chama kama CHADEMA. Ndio ambao ni chaguo sahihi.

Kama kuna mwanachama anataka kupima uwezo na nguvu ya watu hawa kisiasa chamani na nje ya chama,na apambane nao. Wakati ni huu.Wakati wa kugombea na kuonja nguvu ya safu hii imara ya CHADEMA. Pamoja na kuwa na madhaifu yao kama binaadamu ya hapa na pale. Kuuzungumzia wasifu wa kiuongozi na kisiasa wa ndugu hawa kunahitaji sura nzima kwenye kitabu.

Demokrasia inaruhusu kila mwanachama wa CHADEMA mwenye sifa kugombea. Lakini, washindi wa ngazi mbalimbali chamani wanajulikana. Ni kutokana na wasifu wao katika kutetea na kukitumikia chama chao. Ni rahisi kugombea;ngumu sana kuwashinda Mbowe na Dr.Slaa ndani ya CHADEMA.
 
Katiba iliwekwa na wanachama. Asilimia 99.9999 ya wanachama waliipitisha hiyo katiba. Hivyo wana back-up ya wanachama wote.

Hata Mutungi anajua. Kimbele mbele chake kimeishia hewani. Huwezi kumtenganisha Mbowe na Slaa halafu chama kiwe salama. NEVER!

Umelewa kwa mvinyo mpya
 
CCM always track CDM for what? I don't know! When CDM plant a seed CCM try to kill them before they grow like what they did to ZZK, but now they are introuble for Freeman Mbowe comming back to the bettle field....
 
Chadema IPO kidikteta zaidi

Pamoja na kuwa na madhaifu yao kama binaadamu ya hapa na pale. Kuuzungumzia wasifu wa kiuongozi na kisiasa wa ndugu Freeman Mbowe na Dr.W.Slaa kunahitaji sura nzima kwenye kitabu. Upinzani Tanzania umepata heshima kwa sababu ya juhudi na maarifa yao,
 
Last edited by a moderator:
inawauma mkisikia Mbowe na Dr Slaa kuwa hawana mpinzani,kuchukua fomu na kugombea sio taabu je,hao mnaowasema watashinda uchaguzi? Acheni kutumika vibaya

Mlibadili kipengere cha ukomo wa uongozi ili chama mkiongoze milele....Hivi nani ana ujasiri wa kupambana na Mbowe wakati waliojaribu yamewakuta.....mnakiita chama cha demokrasia ilihali mnataka mtawale milele nyie tu inamaana uko ndani hakuna wengine wa kuongoza chadema?
 
Pamoja na kuwa na madhaifu yao kama binaadamu ya hapa na pale. Kuuzungumzia wasifu wa kiuongozi na kisiasa wa ndugu Freeman Mbowe na Dr.W.Slaa kunahitaji sura nzima kwenye kitabu. Upinzani Tanzania umepata heshima kwa sababu ya juhudi na maarifa yao,

Unamaanisha chadema ni watu yani mbowe na slaa na sio tahasisi?
 
Last edited by a moderator:
Si ndani wala nje ya CHADEMA kwenye kiongozi wa kisiasa ambaye anaweza kugombea na kuwashinda Ndugu Freeman A.Mbowe na Dr.Wilbrod P.Slaa kwa nafasi ambazo viongozi hao watagombea ndani ya CHADEMA. Viongozi hao wa CHADEMA wa kitaifa (Mwenyekiti na Katibu Mkuu) wanabebwa na rekodi zao. CHADEMA waliyoipokea toka kwa Hayati Bob Makani na Walid Aman Kaborou si hii ya sasa.

CHADEMA imekua;imesambaa na kujiimarisha vya kutosha. Hata wapinzani wa CHADEMA wanajua kwa dhati kuwa Mbowe na Dr.Slaa wanatengeneza safi kali ya mapambano na ushambuliaji ya kisiasa kwa ukuaji wa demokrasia ya nchi hii.Ndiyo maana hawaishi kutajwa midomoni na walio na wasio wa CHADEMA. Hawa ndio nguzo ya CHADEMA. Wana sifa zinazohitajika kwa chama kama CHADEMA. Ndio ambao ni chaguo sahihi.

Kama kuna mwanachama anataka kupima uwezo na nguvu ya watu hawa kisiasa chamani na nje ya chama,na apambane nao. Wakati ni huu.Wakati wa kugombea na kuonja nguvu ya safu hii imara ya CHADEMA. Pamoja na kuwa na madhaifu yao kama binaadamu ya hapa na pale,wanabaki pekee kiuongozi ndani ya CHADEMA. Kuuzungumzia wasifu wa kiuongozi na kisiasa wa ndugu hawa kunahitaji sura nzima kwenye kitabu.

Demokrasia inaruhusu kila mwanachama wa CHADEMA mwenye sifa kugombea. Lakini, washindi wa ngazi mbalimbali chamani wanajulikana. Ni kutokana na wasifu wao katika kutetea na kukitumikia chama chao. Ni rahisi kugombea;ngumu sana kuwashinda Mbowe na Dr.Slaa ndani ya CHADEMA.

Mkuu.

Sio kwa ni vigumu kuwashinda Mbowe na Slaa bali haiwezekani kabisa kuwashinda. Wengi wa wale wanao mpuuza mbowe ni wale walioingia Chadema baada ya operesheni uamsho iliyofanyika mwaka 2003 na hawajui wakati huo Chadema ilikuwa katika hali gani.

Kwa wale tunaofahamu mapito ya Chadema tunashukuru mungu kwa kutuletea jozi uongozi ya Dr slaa na Mbowe, Jozi kama hii hutokea mara chache sana Duniani. Mfano wake ni ile jozi ya Tonny Blair na Gordon Brown pale Uingereza. Itawachukua miaka mingi Waingiereza kupata jozi ya namna ile.

Kweli kabisa
 
umepost huu uzi ukiwa umevuta bangi?
maana kwa akili ya kawaida tu mbowe aliogopa kupambana na wangwe kitu kilichopelekea kifo chake. Zitto alipojitokeza mbowe akaenda kujificha kwenye vikwapa vya akina mtei ambao walimshauri zitto ajitoe na kabla ya uchaguzi unaokuja amehakikisha amemfukuza kwenye chama. huu utaahira huu utawasumbua sana. we are very unlucky kweye nchi yetu kuwa na wapuuzi wanaolamba miguu ya mabwana zao kama wewe.

Si ndani wala nje ya CHADEMA kwenye kiongozi wa kisiasa ambaye anaweza kugombea na kuwashinda Ndugu Freeman A.Mbowe na Dr.Wilbrod P.Slaa kwa nafasi ambazo viongozi hao watagombea ndani ya CHADEMA. Viongozi hao wa CHADEMA wa kitaifa (Mwenyekiti na Katibu Mkuu) wanabebwa na rekodi zao. CHADEMA waliyoipokea toka kwa Hayati Bob Makani na Walid Aman Kaborou si hii ya sasa.

CHADEMA imekua;imesambaa na kujiimarisha vya kutosha. Hata wapinzani wa CHADEMA wanajua kwa dhati kuwa Mbowe na Dr.Slaa wanatengeneza safi kali ya mapambano na ushambuliaji ya kisiasa kwa ukuaji wa demokrasia ya nchi hii.Ndiyo maana hawaishi kutajwa midomoni na walio na wasio wa CHADEMA. Hawa ndio nguzo ya CHADEMA. Wana sifa zinazohitajika kwa chama kama CHADEMA. Ndio ambao ni chaguo sahihi.

Kama kuna mwanachama anataka kupima uwezo na nguvu ya watu hawa kisiasa chamani na nje ya chama,na apambane nao. Wakati ni huu.Wakati wa kugombea na kuonja nguvu ya safu hii imara ya CHADEMA. Pamoja na kuwa na madhaifu yao kama binaadamu ya hapa na pale,wanabaki pekee kiuongozi ndani ya CHADEMA. Kuuzungumzia wasifu wa kiuongozi na kisiasa wa ndugu hawa kunahitaji sura nzima kwenye kitabu.

Demokrasia inaruhusu kila mwanachama wa CHADEMA mwenye sifa kugombea. Lakini, washindi wa ngazi mbalimbali chamani wanajulikana. Ni kutokana na wasifu wao katika kutetea na kukitumikia chama chao. Ni rahisi kugombea;ngumu sana kuwashinda Mbowe na Dr.Slaa ndani ya CHADEMA.
 
ungejua jinsi tonny blair anavyochukiwa uk wala usingelisema hilo. ndo kisa hata cha brown kupigwa chini baada ya awamu moja tu ya uongozi wao.
wewe ukikaa hapo kwenu kunywa kitocha unajiona unajua sana kumbe upuuzi tu. ukibahatika kufika uingereza waulize watakuambia. au hata ukikutana na mtalii kutoka uingereza kwenye mtaa wenu muulize sio kuandika huu upuuzi wako hapa.

Mkuu.

Sio kwa ni vigumu kuwashinda Mbowe na Slaa bali haiwezekani kabisa kuwashinda. Wengi wa wale wanao mpuuza mbowe ni wale walioingia Chadema baada ya operesheni uamsho iliyofanyika mwaka 2003 na hawajui wakati huo Chadema ilikuwa katika hali gani.

Kwa wale tunaofahamu mapito ya Chadema tunashukuru mungu kwa kutuletea jozi uongozi ya Dr slaa na Mbowe, Jozi kama hii hutokea mara chache sana Duniani. Mfano wake ni ile jozi ya Tonny Blair na Gordon Brown pale Uingereza. Itawachukua miaka mingi Waingiereza kupata jozi ya namna ile.

Mkuu.

Sio kwa ni vigumu kuwashinda Mbowe na Slaa bali haiwezekani kabisa kuwashinda. Wengi wa wale wanao mpuuza mbowe ni wale walioingia Chadema baada ya operesheni uamsho iliyofanyika mwaka 2003 na hawajui wakati huo Chadema ilikuwa katika hali gani.

Kwa wale tunaofahamu mapito ya Chadema tunashukuru mungu kwa kutuletea jozi uongozi ya Dr slaa na Mbowe, Jozi kama hii hutokea mara chache sana Duniani. Mfano wake ni ile jozi ya Tonny Blair na Gordon Brown pale Uingereza. Itawachukua miaka mingi Waingiereza kupata jozi ya namna ile.

Pia km jozi ya kikwete(Mr. Dhaifu) na pinda (kulialia)
 
Wajitokeze wengi demos,,,cratos itimie,,,. Mbowe hana haja ya kufanya kampeni,,kamanda wetu wa anga
 
dr ndo rais wa tz, wanaobisha wnajua walichokifanya 2010. hamna haja ya kupoteza mda kujadili obvious facts. anaye bisha hajui anachokifanya,
 
Unamaanisha chadema ni watu yani mbowe na slaa na sio tahasisi?

Mbona unahangaika sana kama mtu ambaye hana uelewa wa demokrasia? Kwani kuna waraka wowote umetolewa na chama kuwa Mbowe hatakiwi kupingwa kwenye huu uchaguzi? Kila anayejiamini kuwa anaweza kuwa mwenyekiti wa chadema anaruhusiwa kugombea kura ndo itaamua! Mbowe ana wapambe wake wanaotaka aendelee lakini haina maana kuwa ndiyo anafunga mlango wa wengine kugombea hiyo nafasi! Chadema siyo magamba ambako mwenyekit napigiwa kura ya ndiyo au hapana tu!

Acheni propaganda za kijinga ambazo hakuna mtu hapa JF anaweza kununua labda magamba wenzako ambao hamfiki hata kumi!
 
Back
Top Bottom