- Thread starter
- #21
Unaenda mbali mkuu. Kuna Tabia hata kuzitamka zinatia kinyaa.Mwanaume unatafuta rafiki wa kiume. Aisee nchi imejaa vijana wahovyo mwanaume rafiki yako ni pesa mengine ni kutafuta wa kukufukua ty
Unaenda mbali mkuu. Kuna Tabia hata kuzitamka zinatia kinyaa.Mwanaume unatafuta rafiki wa kiume. Aisee nchi imejaa vijana wahovyo mwanaume rafiki yako ni pesa mengine ni kutafuta wa kukufukua ty
HowUnatafuta majanga wewe!
NotedSasa hivi kuna washkaji tu hakuna marafiki yani akizingua unamkataa unaambatana na wengine...urafiki wa sasa ni unafiki tu..chukua hii.
Najuaaa sana tunategemeana lakini kwangu mm hapana.....Binadamu tunahitaji watu
UmemalizaaaaaKwa dunia ya sasa rafiki ambae atakupa thamani ni hustle zako na pesa yako
Kama unaona hio statement ni uongo mkopeshe rafiki yako hela kama hauta poteza vyote