ni uzee au utoto?

ni uzee au utoto?

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
3,832
Reaction score
637
sijui anafundisha au ni staili ya mzoezi

feeding_all_the_cats.jpg
 
nimependa hayo mapaka yalivyo nyoosha mikia yao...
 
Ni mpweke sana hawa ndio marafiki alionao inabidi ajichanganye nao.
 
huh...................nadhani ni ajira hyo huko ulaya ya kutrain paka kukamata panya.mwenzio anaingiza siku hapo ooooohooooooo
 
Back
Top Bottom