Ni utoto tu akikua ataacha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni utoto tu akikua ataacha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by aduwilly, Sep 25, 2012.

 1. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kukojoa kitandani ni utoto tu akikua ataacha

  Kulilia rambaramba ni utoto tu akikua ataacha

  Kuzomea zomea bungeni ni utoto tu wakikua wataacha

  Kushabikia timu inayokupa stress mara kwa mara ni utoto tu ukikua utaacha

  Kupanda boda boda barabara kuu za mijini ni utoto tu wakikua wataacha

  Kung'angania chama kilichoshindwa kuleta maendeleo stahiki ni utoto tu wakikua wataacha

  .......

  ......

  weza ongeza zakwako unazoona ni utoto tu la sivyo zisingefanyika.
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kusoma post inayotaka ukomenti halafu ukaifunga bila kukomenti ni utoto tu ukikua utaacha
   
 3. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuingia Jamii forums mara kwa mara lakini bado tu huna account ni utoto tu ukikua utaacha
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kuota umeokota hela alafu unaamka unagomba eti ingekuwa kweli..ni utoto tu ukikua utaacha
   
 5. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Majungumajungu ya wanasiasa ni utoto tu wakikua wataacha.
   
 6. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nmeshndwa nicoment nn, ila ni utoto tu nikikua nitaacha!
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kucopy status nzuri za Jf na kuziamishia Fb,
  Niutoto tu wakikua wataacha.
   
 8. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kutongoza kila binti ambae ni rafiki wa dada yako ni utoto tu ukikua utaacha
   
 9. yuppie boy

  yuppie boy JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mashabiki wa timu nyingine kung'ang'ania kupost kwenye thread ya Arsenal ni utoto wakikua wataacha
   
 10. yuppie boy

  yuppie boy JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuuliza swali jamii forum halafu watu wanajibu upuuzi ni utoto wakikua wataacha.
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kufowad sms za matuc ni utoto wakikuwa wataacha!
   
 12. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Kutilia mashaka simu ya mpenzi wako ni utoto tu ukikua utaacha
   
 13. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kushabikia com,
   
Loading...