Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Awamu ya tano inadai ni ya watu wacha mungu na waadilifu kweli kweli na wanasema msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Opposite yake itakuwa msema uwongo ni mpenzi wa shetani.
Wanashinda kila ijumaa na jumapili na makamera wakijionyesha kuwa ni watu wa mungu ila hatujui kwa mungu yupi.
Ila matendo yao hayafanani na watu wa mungu labda kama kuna mungu wanayemwabudu sio huyu wanaotuonyesha na makamera.
Ni utaratibu upi unaofanya serikali ya awamu ya tano kuzika usiku wa manane ambao hujulikana kilingana na imani ndio muda wa wachawi kufanya mambo yao na vikao vyao.
Je ni mila ipi? Dini ipi? Au imani ipi inayofuatwa au utaratibu na sheria gani inafuatwa kwa raia wa tanzania kuzikwa nyakati za usiku na sio wakati wa mchana?