kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,342 Reaction score 12,066 Apr 2, 2018 #141 Mzigdash said: Acha kutafuta faraja we umepigwa tu Click to expand... Hapa ndo umemwambia ukweli! 75000 hata papa hujaigusa!!!
Mzigdash said: Acha kutafuta faraja we umepigwa tu Click to expand... Hapa ndo umemwambia ukweli! 75000 hata papa hujaigusa!!!
sab JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 5,746 Reaction score 4,352 Apr 2, 2018 #142 Pole sana mkuu, ila usitoage pesa kizembe zembe , hakuna pesa ndogo mkuu
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,951 Apr 2, 2018 #143 Alishakwambia ana mtu wake. Kilichomchanganya ni business card tu, akaona akujaribu kwa kukupiga mzinga. Ila amini kuwa chanzo cha kuku-block ni mtu wake.
Alishakwambia ana mtu wake. Kilichomchanganya ni business card tu, akaona akujaribu kwa kukupiga mzinga. Ila amini kuwa chanzo cha kuku-block ni mtu wake.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Apr 2, 2018 #144 Huo siwezi kusema Utapeli. Jibu ni kwamba hakuwa na mpango na wewe
ZINDAGI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 1,118 Reaction score 1,437 Apr 2, 2018 #145 Sii alikuambia anaumwa atakua amekufa huyo ndio maana simu haipatikani
Pumba Master Senior Member Joined Jan 19, 2018 Posts 181 Reaction score 194 Apr 2, 2018 #146 mjumbe wa bwana said: siku akitumiwa tu ya kwako inakatwa inarudi Click to expand... Doh, kumbe! okay ahsante kwa kunifahamisha hili.
mjumbe wa bwana said: siku akitumiwa tu ya kwako inakatwa inarudi Click to expand... Doh, kumbe! okay ahsante kwa kunifahamisha hili.
M mvetenam kambodia Senior Member Joined Mar 20, 2018 Posts 149 Reaction score 93 Apr 2, 2018 #147 Du..! pole sana mkuu ajali kazini